chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mbona mawasiliano hujaweka? 2tawasiliana kwa njia ip?
Eka moja shs ngapi
Bei maelewano, nipm kama unahitaji ngugu yangu
taja wazi wazi tujue bhana
Bei maelewano, nipm kama unahitaji ndugu yangu
Mkuu sidhani mwitaji kama Pm kwake yaweza kuwa shidaBiashara matangazo, na matangazo hayafanywi uvunguni ndugu!! weka kila kitu bayana, kwani utauawa?
Its high time now that PMs should be banned.......
Mwenye kuhitaji tafadhari
Mkuu tangazo lako limekaa kijumla sana, Njombe mjini, Njombe ktk wilaya zake (Makete,Ludewa,Wanging`ombe), Njombe vijijini, je kama ni vijijini, ni vijiji gani mkuu? Je ni kifanya, Lupembe,Uwemba, Ihanga.
Ukishaanza kuwapeleka wateja vichochoroni (pm) mapema, unatufanya tuanze kuogopa kufanya bz na wewe. Mimi nataka shamba wazi kubwa kuanzia eka mia, ila kila kitu weka hapa hapa hadharani, yaani bei, kijiji,umbali toka barabara kuu,je miche ya kuotesha ipo ya kutosha au la. Baada ya hapo ndio tuingie pm.
Mkuu mengine ni mikakati tu ya kibiashara nita aminije kama wewe si mshindani wangu, wengi tu tumewasiiliana huko pm na mambo yanaenda na biashara zinaendelea kama kweli unahitaji pm si jambo gumu, hakuna udanganyifu wowote tofauti na hapo si muhitaji > Biashara huria unachagua yes or no! Asante
Hata kwenye biashara ya kuotesha miti kuna ushindani kweli, mbona mapori mengi tu mkuu wangu. Yupo jamaa alitangaza kuuza shamba juzi hapa pale Kiponzero Ifunda. Kasema shamba bomba, liko karibu na bei ni nzuri. Tukachoma mafuta mpaka huko shambani, km 40 toka pale Ifunda, kufika kule kumbe kuna eka 30 tu, wakati yy alisema ni zaidi ya eka mia moja. Bonge la usumbufu.
Ndio maana tunauliza detail nyingi kabla ya kuja kuliona shamba lenyewe.
Asante.
Nakuelewa mkuu wangu, mapori mengi ila si yote yanakuwa tayari na yanafaa kwa wakati mwafaka. Hapa tukianza kujadiliana live mwenyewe unajua humu si wote wastraabu, wataibuka wasumbufu lakini pia inbox kuna uwazi wote ikiwa ni pamoja na mawsailiano, ni mjadala kwa kirefu mpaka mtu unaridhika. Pia kabla ya ku-effect biashara yenyewe tunakubaliana on some important facts na twaenda nawe kwenye hiyo category ambayo unaitaka ukakwame ww si mimi(sisi) kukukwamisha kwa mis representation yoyete, usijari kabisa. Asante Pia