Yeyote anayehitaji mashamba ya wazi na mashamba yenye miti, misitu Njombe

Yeyote anayehitaji mashamba ya wazi na mashamba yenye miti, misitu Njombe

Kwenye jukwaa hili la biashara huwa hatufichi kitu kabisa, kwa sababu tunaamini ktk kusaidiana zaidi. Nilipoona Njombe, nikatamani nipate kipande pande zile. Nitakuja mwenyewe huko nitafute,naamini nitapata.

Asante kwa kuwahamasisha wadau wa jukwaa letu kuotesha miti kwa wingi.

Ni vizuri sana mkuu kuona dhamira haijabadilika, uzuri wa huu ulimwengu huenda utakayekuja fanya nae biashara ni mimi mwenyewe . Yote kwa yote asante kwa kuonesha nia ya Kupanda miti dhamira iwe hiyo usirudi nyuma kwa kukwamishwa na ndg. wa Ifunda. Asante!
 
Back
Top Bottom