Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,141
Sijaona code zaidi ya mafumbo tu.Ndio jambo lililoonekana kutokea pande za juu baada ya kazi kubwa iliyofanyika jana na usiku kucha.
Yule wa mwanzo aliliwa na mbwa na huyu ataoza akiwa bado hajatoweka.
Manabii mmeshaanza,mnaleta taharuki kwa wananchiNdio jambo lililoonekana kutokea pande za juu baada ya kazi kubwa iliyofanyika jana na usiku kucha.
Yule wa mwanzo aliliwa na mbwa na huyu ataoza akiwa bado hajatoweka.
Mtekaji anaruhusiwa kutishika.Manabii mmeshaanza,mnaleta taharuki kwa wananchi
Nyie ndio mnatakiwa mfungiwe haya makanisa yenu,badala muombee nchi mnakalia kuoteshwa kutisha wananchi
Sijaona code zaidi ya mafumbo tu.
Ebu ngoja wengine waje labda...
mbona unaleta matango pori aisee?Manabii mmeshaanza,mnaleta taharuki kwa wananchi
Nyie ndio mnatakiwa mfungiwe haya makanisa yenu,badala muombee nchi mnakalia kuoteshwa kutisha wananchi
Wewe ni miongoni mwa hao manabii wanao uzia Watanzania maskini chumvi,mafuta,maji na udongo ili wapate miujiza na utajiri?mbona unaleta matango pori aisee?
Hata wewe si unateka vipato na fikra za wananchi kwa kuwadanganya na kuwauzia chumvi,mafuta na maji na kuwaambia yana nguvu na miujiza kuliko MunguMtekaji anaruhusiwa kutishika.
Mm nimeota kaparalize. Itakua jambo jemaNimeota mwaka huu mtekaji mkuu wa watanzania atafariki Dunia na nchi yetu itakuwa huru
pumbavu. Siungi mkono abrakadabra zao, lakini sipendi wanavyofanyiwa waumini, kenge weWewe ni miongoni mwa hao manabii wanao uzia Watanzania maskini chumvi,mafuta,maji na udongo ili wapate miujiza na utajiri?
Mbona Gwajima na waumini wake wako kwenye mfungo wa siku saba kuombea watekaji waliwe na mbwa au hujui?Manabii mmeshaanza,mnaleta taharuki kwa wananchi
Nyie ndio mnatakiwa mfungiwe haya makanisa yenu,badala muombee nchi mnakalia kuoteshwa kutisha wananchi
Kuna mtu aliandika humu mwaka jana kwamba mpambano mwaka huu ni kati ya Samia na Gwajima. Ebu mwenye ule uzi aufufue hapa saa hii.Nimeota mwaka huu mtekaji mkuu wa watanzania atafariki Dunia na nchi yetu itakuwa huru
Watanganyika mkitegemea hizi ndumba hamna mabadilikoNdio jambo lililoonekana kutokea pande za juu baada ya kazi kubwa iliyofanyika jana na usiku kucha.
Yule wa mwanzo aliliwa na mbwa na huyu ataoza akiwa bado hajatoweka.
Sawa kenge,ila anaetakiwa apigwe nyundo ni huyo huyo kiongozi waopumbavu. Siungi mkono abrakadabra zao, lakini sipendi wanavyofanyiwa waumini, kenge we
Wewe ni nabii?😀Mbona Gwajima na waumini wake wako kwenye mfungo wa siku saba kuombea watekaji waliwe na mbwa au hujui?
Au mnataka tuu maombi ya kumsifia na kumtukuza kwamba anafanya kila kitu hapa duniani?
Watekaji wakimuingiza kwenye 18 mtu, wana mla jicho huku wana record.. watu wanaona waishie kwenye mafumboo kidogo kupunguza hasira za makaka watekajiSijaona code zaidi ya mafumbo tu.
Ebu ngoja wengine waje labda...😶
acha upuuzi nimekuita kenge ni weweSawa kenge,ila anaetakiwa apigwe nyundo ni huyo huyo kiongozi wao
Kenge wewe
Mungu angekua anasikiliza maombi ya kila binadamu ingekuajeNimeota mwaka huu mtekaji mkuu wa watanzania atafariki Dunia na nchi yetu itakuwa huru
nyokoSawa kenge,ila anaetakiwa apigwe nyundo ni huyo huyo kiongozi wao
Kenge wewe