Yezebeli aonekana kutokea juu akiwa ameparalaizi na kuoza wakati anakaribia kutoweka

Huu ni mwaka wa kristo kuinuliwa

  1. 2 Wafalme 21:12 kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Angalia, naleta mabaya juu ya Yerusalemu na juu ya Yuda, hata kila mtu asikiaye, masikio yake yatawasha yote mawili.
 
Damu za Watu zimeshamnogea huyu, TUTAKWISHA asipothibitiwa haraka.

 
Huwezi kulinganisha yule na mtu na huyu mbwa. Jiheshimu tafadhali.

Akioza aoze salama maana wema hawafi.
 
Manabii mmeshaanza,mnaleta taharuki kwa wananchi

Nyie ndio mnatakiwa mfungiwe haya makanisa yenu,badala muombee nchi mnakalia kuoteshwa kutisha wananchi
Mwamposa anaombea mpaka ndani ya CCM na bado nchi inaoza sasa si bora taharuki tu,manabii more "taharuki"please.
 
Mpango alindwe sana anaingia ikulu mda si mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…