JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
- Thread starter
-
- #21
mkuu si unajua wazeee wa siku hizi mpaka wapige chabo kwanza ndio wapate stim ya kwenda kudandia (chabo siku hizi wanasema ni kupiga hendelii)Wee Bishanga! Yaani ishia hapohapo!
Umepata wapi access ya kuniumbia hadharani?
Sio siri nikiwa kwenye pitch na YNNAH ni lazima NILIE! (naililiaga) asa we umejuaje? Kama sio mwanga, basi kuna siku ulitupiga bodi la chabo!
Ukirudia tena maneno kabila hii nakulaza ndumwa!
Ukome.
Staki utani wa ukweli-ukweli ujue?
na mimi sikusomi mpaka uhame kwenye zile kota zinazotunyima uhuru wa kuranduka.....
CC PakaJimmy assist
Hahahaaaa... Jiwe Linaloishi acha kunichekesha bwana. Siku nyingine sitakaa kota
Hujambo wewe!?Jiwe Linaloishi hujapata habari ndege yako imehairisha safari mpaka mwezi ujao na daraja la mto Wami limevunjika.
Keep on staying meen!
YNNAH nampa uraia wa chugga.
YNNAH karibu sana Arachuga, mimi kesho naondoka kwenda Dar ila Ntarudi, kuwa makini mji mtamu huu na wenyeji wakarimu sana akili ku mkichwa
Hope mtoto anaendelea vyema tutaendelea kumwombea apone haraka.
Wakuu shukrani kwa kujumuika pamoja, arusha ntarudi kutangaza jamhuri tuombe uzima tu
YNNAH nikirudi ntakuhamisha kwenye zile kota ili uwe huru.... PJ atafurahi sana
CC PakaJimmy,Arushaone, Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula,Mungi
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote