YNWA :Asanteni Wolves

Aibu kama hii ndiyo itampata Mesi akihamia ligi kama EPL.

Huyu Gudiola alikuwa mtemi kila alikopita ila utemi wake unafikia mwisho.Lazima atulize mshono kama Morinho alivyotulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naye sijui ndio umeandika nini,? pep ndani ya miaka mitatu kachukua Ligi mara mbili, sijui unaongelea utemi gani,[emoji1745][emoji1745].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mess ni mchezaji aliye zaliwa kwa kuitumikia Barca pekee, nje ya Barca messi hana hatari ya kutisha, vile unavyomuona akihangaika akiwa na Argentina yenye vipaji Lukuki ndio tafsiri halisi ya Mess nje ya Barca. Sio Mess tu wachezaji wengi wa Amerika ya kusini wanapata tabu sana wakijiunga na klabu za EPL. EPL ni soka la Nguvu na kasi. Kikubwa Marefa hawana muda wa kuwalinda wachezaji flaniflani ni soka la shoka na ubabe ni Direct football. Mess ata umwambie utamlipa paun million ishirin kwa mwaka hawezi kubali kwenda ku aibika EPL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Wewe ulitakiwa useme EPL hakuna vipaji vya kucheza na Messi, hivyo Messi kuja kucheza EPL ni kuji-undermine uwezo wake,huko EPL kwenye mpira kazikazi mbona anazifunga timu zao kila wanapokutana, Ebu nitajie timu ngumu ya EPL Messi hajawahi ifunga kama kweli Messi hawezi cheza EPL ??
Lakini kwakuwa ww ni fan wa MAN U na Messi ni vitu viwili tofauti [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unbeaten aliweza Arsenal tu huyo Liva atachukua ubingwa ila atapigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ronaldo amefunga Juventus Giant wa Seria A ila Leo yupo anakimbizwa tu na akina Lukaku,uwezo wa mchezaji ktk ligi Fulani hupimwa akiwa ktk ile ligi na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…