YNWA :Asanteni Wolves

YNWA :Asanteni Wolves

Aibu kama hii ndiyo itampata Mesi akihamia ligi kama EPL.

Huyu Gudiola alikuwa mtemi kila alikopita ila utemi wake unafikia mwisho.Lazima atulize mshono kama Morinho alivyotulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naye sijui ndio umeandika nini,? pep ndani ya miaka mitatu kachukua Ligi mara mbili, sijui unaongelea utemi gani,[emoji1745][emoji1745].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mess ni mchezaji aliye zaliwa kwa kuitumikia Barca pekee, nje ya Barca messi hana hatari ya kutisha, vile unavyomuona akihangaika akiwa na Argentina yenye vipaji Lukuki ndio tafsiri halisi ya Mess nje ya Barca. Sio Mess tu wachezaji wengi wa Amerika ya kusini wanapata tabu sana wakijiunga na klabu za EPL. EPL ni soka la Nguvu na kasi. Kikubwa Marefa hawana muda wa kuwalinda wachezaji flaniflani ni soka la shoka na ubabe ni Direct football. Mess ata umwambie utamlipa paun million ishirin kwa mwaka hawezi kubali kwenda ku aibika EPL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna timu ya kucheza mchezaji wa kiwango cha Messi EPL,Mchezaj wa dunia acheze EPL ???? ilitokea kwa Ronaldo tu mwaka uliofata akaenda kwenye timu ya uwezo wake [emoji16][emoji16][emoji16]
uzi huu unaihusu wolves, man city na liverpool
uko nje ya mada mkuu
Hapa wolves kafanya mambo na kukata mbio za ubingwa huku liverpool akionekana hana mpinzani

Habari za Messi hazihusiki hapa, muanzishie uzi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mess ni mchezaji aliye zaliwa kwa kuitumikia Barca pekee, nje ya Barca messi hana hatari ya kutisha, vile unavyomuona akihangaika akiwa na Argentina yenye vipaji Lukuki ndio tafsiri halisi ya Mess nje ya Barca. Sio Mess tu wachezaji wengi wa Amerika ya kusini wanapata tabu sana wakijiunga na klabu za EPL. EPL ni soka la Nguvu na kasi. Kikubwa Marefa hawana muda wa kuwalinda wachezaji flaniflani ni soka la shoka na ubabe ni Direct football. Mess ata umwambie utamlipa paun million ishirin kwa mwaka hawezi kubali kwenda ku aibika EPL.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitakiwa useme EPL hakuna vipaji vya kucheza na Messi, hivyo Messi kuja kucheza EPL ni kuji-undermine uwezo wake,huko EPL kwenye mpira kazikazi mbona anazifunga timu zao kila wanapokutana, Ebu nitajie timu ngumu ya EPL Messi hajawahi ifunga kama kweli Messi hawezi cheza EPL ??
Lakini kwakuwa ww ni fan wa MAN U na Messi ni vitu viwili tofauti [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unbeaten aliweza Arsenal tu huyo Liva atachukua ubingwa ila atapigwa
Liverpool washachukua epl tayar

Nadhan saizi anacheza kukamilisha mzunguko tu, na kuweka historia ya unbeaten fuvcken club in the world with more point
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh..kumbe manu imewahi beba..
Man UTD imefanya hvo zaid ya Mara moja (98/99 99/00 00/01) (06/07 07/08 08/09)
IMG_20191228_094212.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitakiwa useme EPL hakuna vipaji vya kucheza na Messi, hivyo Messi kuja kucheza EPL ni kuji-undermine uwezo wake,huko EPL kwenye mpira kazikazi mbona anazifunga timu zao kila wanapokutana, Ebu nitajie timu ngumu ya EPL Messi hajawahi ifunga kama kweli Messi hawezi cheza EPL ??
Lakini kwakuwa ww ni fan wa MAN U na Messi ni vitu viwili tofauti [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo amefunga Juventus Giant wa Seria A ila Leo yupo anakimbizwa tu na akina Lukaku,uwezo wa mchezaji ktk ligi Fulani hupimwa akiwa ktk ile ligi na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom