YNWA :Asanteni Wolves

Ni kweli mkuu unalosema, lakini kwa ishu ya Ronaldo naona yeye yupo kwenye Diminishing return, hawezi kucheza kama zamani, umri umemuacha japo bado ni mchezaji mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa unachopaswa kuelewa EPL ni ligi ya kukamiana mf uliamini ipo Man UTD atakuja kuwa anapambania kuingia top 4? coz tangu Man UTD iwe form ilikuwa inaacha msimu mmoja anachukua ligi na hata msimu aliyokuwa anaacha anapokonywa kombe kwa mbinde ila leo hii Man UTD IPO chalii next example ni Man City ya Guadiola inavyokamiwa msimu huu c unaona mkuu? Yaani EPL Messi akija anaweza kuvuma kwa misimu michache kisa watu wakammaster na kumpoteza kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeeni mnayoongea mambo ya wolves na ujinga ujinga mwingine sjui wa Man u kuchukua Yale makombe Yake ya kizaman , Ila Messi mwacheni , kama mna njaa kuleni makande mkalale...
Messi aende akacheze timu za Epl za hovyo hovyo, majitu yanabutua butua tu mpira what the fu-ck?

Timu zote za Epl zile top Messi kazifunga , sio Chelsea , Man u, liva, arsenal , mancity wote wamechezea kichapo ,
Timu zote Bora Ulaya Messi kazifunga ,Leo jitu linakuja ooh Messi Hana lolote nje ya barca 😀, ko unataka akacheze kila ligi ili akudhibitishie we mla makande kuwa yy ni bora ?
Kama mmekosa ya kujadili laleni bhana , Messi yupo busy akijiandaa kuchukua ball'on ya 7
 
Ingawa Messi hachezi EPL lakini anashika nafasi ya pili kwa kuzifunga timu kubwa za EPL. Sasa sijui angecheza hiyo ligi yao wanayoiita ngumu sijui ingekuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo hovyo kweli, kwani kuifunga timu ndiyo unakuwa mchezaji bora?
Mbona hata Samatta aliifunga Liverpool, kwa hiyo yeye na Messi wanaendana kumbe?
Mifano yako ya ovyo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…