4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Kikubwa unachopaswa kuelewa EPL ni ligi ya kukamiana mf uliamini ipo Man UTD atakuja kuwa anapambania kuingia top 4? coz tangu Man UTD iwe form ilikuwa inaacha msimu mmoja anachukua ligi na hata msimu aliyokuwa anaacha anapokonywa kombe kwa mbinde ila leo hii Man UTD IPO chalii next example ni Man City ya Guadiola inavyokamiwa msimu huu c unaona mkuu? Yaani EPL Messi akija anaweza kuvuma kwa misimu michache kisa watu wakammaster na kumpoteza kbsNi kweli mkuu unalosema, lakini kwa ishu ya Ronaldo naona yeye yupo kwenye Diminishing return, hawezi kucheza kama zamani, umri umemuacha japo bado ni mchezaji mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app