Yoav Gallant: Uongozi wa Kiongozi mpya wa Hezbollah, utakuwa ni wa muda mfupi

Yoav Gallant: Uongozi wa Kiongozi mpya wa Hezbollah, utakuwa ni wa muda mfupi

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametuma ujumbe kuwa uongozi wa Kiongozi moya wa Magaidi ya Hezbollah, Naim Qassem, takuwa wa muda mfupi tu.

Soma Pia:
Screenshot_20241029-171611.jpg
 
Sasa jamaa anafikiri hao jamaa wanaogopa kufa!, hao wameshachagua kufa kuliko kuishi, option number moja kwao ni kufa na kuishi ni pale ambapo kuna alternative.

Hizbollah na Iran waliamua kuwapigania Palestina, kifupi wamechagua upande wa wanyonge kuwasaidia kudai haki yao bila malipo yeyote.
 
Qaseem has been a deputy to Nasrallah since 1991, eliminating him today won't change the course.
 
Sasa jamaa anafikiri hao jamaa wanaogopa kufa!, hao wameshachagua kufa kuliko kuishi, option number moja kwao ni kufa na kuishi ni pale ambapo kuna alternative.

Hizbollah na Iran waliamua kuwapigania Palestina, kifupi wamechagua upande wa wanyonge kuwasaidia kudai haki yao bila malipo yeyote.
Hiyo ni mikono ya kifgaidi ya Iran hivyo lazima ikatwe
 
Magaidi wa Israel ndo wanaogopa kufa ila wapigania haki wa Hezbollah hawajawahi kuhofia kifo kwahiyo zoezi la kuwachuna ngozi Israel wakiwa hai linaendelea
 
Mzee wa watu ajiandae kwenda jochotea mipombe kwenye mito huko akhera ila kama hajui maumivu ya hangover ajivue kushtua hata kakonuagi kadogo huku duniani kwa mazayuni.
 
Back
Top Bottom