Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Yoda
Infropreneur
Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana.
Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini kuwa wapo/upo.
Lakini kabla ya hapo ningependa nyie nao mjiulize swali hilo hilo mnalopenda kuuliza watu.
Swali lenu: "Mna ushuhuda gani kama kweli Mungu/Shetani/Uchawi yupo/upo??"
Nyie nao mjiulize "Hivi nina ushuhuda gani kuwa Mungu/Shetani/Uchawi kweli hayupo/haupo?"
Kwa maana miaka ya zamani kidogo kuna mwanasayansi alijaribu kuwaambia watu kuwa dunia ndio inayozunguka jua bali sio jua ndilo linalozunguka dunia, kilichofata jamaa akakamatwa, lakini leo dunia nzima ishajua kuwa dunia ndio inayozunguka dunia.
Sawa hakuna Mungu, lakini there must be a reason ya uwepo wetu huu na nyota angani, na reason hio ndio higher power maana imeweza kucreate.
So ni vizuri mtu ukawa open minded, hata kama uamini kitu, usipende kujiweka asilimia 100 maana mwanadamu yuko limited, akili yake mwenyewe hatumii hata robo ya uwezo wake. Maana tulijua saayari tisa tu ila kumbe zipo lukuki na nyingine hadi zinafanania na dunia. (Maybe kuna watu kama sisi kwenye sayari nyingine).