Yoga au Umughaka?

Yoga au Umughaka?

Unawawekaje kwenye mzani mmoja wakati simulizi zao zipo kwenye muktadha tofauti?
 
Wote wako safi, kwa masimulizi UMUGHAKA yuko njema sana.
Ukiachana na hiyo kazi yake ya bodaboda, ana kipaji cha uandishi.

yoga yuko njema kwa codes aisee nae ni mtunzi mzuri sana ni vile tu nchi yetu haina uhuru baada ya kupublish habari iliyoigusa serikali.
 
Back
Top Bottom