Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sio muelezaji mzuri ila ukifatilia jinsi mpaka nchi iliyokuwa na umoja na kuharibika vibaya sababu ya dini, ukabira, rasilimali uwezi kukosa Yugoslavia.
Leo nasikia sijui kanali fulani anasema ukiona wanajeshi basi umepata amani ila kasahau October 29 walikuwa kama mgambo na polisi walikuwa ndio wanajeshi.
Kwa jinsi ccm inavotafuta njia za kuwagawa wanaotaka haki ujikuta inajiingiza kuligawa taifa kama ilivyo Yugoslavia.
Kuna kipindi tutafikia bapaya.Naona kamuita M7 Kuomba warudi wale watu wa October 29 waje kuongeza nguvu kuanzia tarehee 13 kuanzia sasa.