Yogurt bread rolls

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

1)Unga vikombe 4 vikubwa
2)Hamira 1 tablespoon
3)Asali 3 tablespoon
4)Maji ya uvuguvugu (warm) kikombe 1 kikubwa
5)Mtindi (yogurt) kikombe 1 kikubwa
6)Mafuta ya kupikia 1 tablespoon
7)Chumvi kiasi


Namna ya kutaarisha

1)Katika bakuli safi,changanya unga nusu kikombe,hamira,asali na maji ya uvuguvugu...koroga vizuri alafu acha kwa dakika 10-15


2)Katika mchanganyiko wa hamira changanya yogurt,vegetable oil,chumvi na unga changanya vizuri....hadi ubate donge laini kama la chapati

3)Kanda vizuri hadi iwe laini...

4)Funika na plastic wrap...acha uimuke for 1 hour

5)Kata kata viduara ukubwa kiasi then tengeneza round shape then weka kwenye trey...acha iumuke for 30 minutes

6)Chukua sharp knife then make slits juu hizo mkate yake (sio lazima hii ni kwa ajili ya kuzipamba tu na kufanya zivutie)


7)Weka kwenye oven 300-350 moto hadi ziwive vizuri...

Tayari kwa kuliwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Asante sana kwa kutufunza manake hapa hatuwezi singizia eti ooooh nyumbani sikufunzwa hapana mafunzo tunayapata hapahapa.
 
Asante sana kwa kutufunza manake hapa hatuwezi singizia eti ooooh nyumbani sikufunzwa hapana mafunzo tunayapata hapahapa.

Ahhahahahaah lol...usijali hata na mie najifunza

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…