ONJO
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 216
- 265
Kwa wale mlioona jua leo hongereni,zaidi sana.Heri yao walioona jua na kulifanya kuwa makao usiku na mchana.
Najieleza,
Yeremia 1:4 inasema kabla hujazaliwa nilikujua,na baada ya kuzaliwa nilikutakasa.
Yohana 6:18 inasema yohana alikuwa amemwambia Herode;si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.
HOJA YANGU
Yohana alikuwa nabii aliyekuja kumtengenezea njia Bwana Yesu Akibatiza kwa maji.Tena katika mahubiri ya yohana yanamsahihisha Herode kwamba amefanya kosa kumuoa mke wa ndugu yake filipo.Pia tukumbuke wakati binti Herode anacheza,alimvutia mfalme na kumruhu,chochote atakachoomba atampa kama zawadi.Binti akaomba kichwa cha yohana,yohana akakatwa kichwa chake na kupewa binti.
Hoja yangu ni kwamba yohana hakujua mpaka Herode anapata mtoto kupitia huyo mwanamke kwamba mungu amemkubali huyo mtoto?Maana yeremia kabla mtu hajazaliwa mungu anamjua kiasi kwamba hata kumkosoa kwake hakukuwa na maana.Mimi binafsi naona alistahili kuadhibiwa kwa sababu hakutumia maarifa.
Au nyinyi ndugu zangu mnasemaje juu ya hili?
Na ONJO mpenzi wenu.