Hukumu ya Yohana mbatizaji iliboreshwa kutoka kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa.
Turudi kwenye maandiko;(Mathayo 14:3-)
Yohana mbatizaji alifungwa kwa sababu ya kumkemea Herode(mfalme) kwa kuoa mke wa nduguye Filipo.Ili kunyamazishwa sauti isiendelee sana kusikika alitiwa gerezani.Nadhani alikuwa anatembea na yale ma-mega foni spika barabarani akikemea tabia ya mfalme(hii ni risk taking).Alikatazwa ila hakusikia.Ilikuwa ni tabia ya kukera sana kwa kweli.mfalme akaona isiwe shida tupa ndani huyu.maana tukimuua watu watapiga kelele.
Siku nyingine wakati wa birthday yake Herodi,binti yake acheza vizuri baba akamwambia achague zawadi,binti akamconsult mama amchagulie zawadi,mama akamwambia mwambie baba akupe kichwa cha Yohana.baba akatekeleza;binti akapewa kichwa cha Yohana kama zawadi.Story ya Yohana mbatizaji yenyewe iliishia hapo ila Dini yenyewe iliendelea kukua kwa kasi sana.