Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika gani kama Le mutuz hajasaidiwa kisaikolojia?binadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupu
Yeye kilichomuumiza ni kujuwa mwanaume anayetoka na mkewe.WanaJF tupunguze jazba
Kwanza hizi taarifa ni za upande mmoja, hakuna hata mmoja wetu aliyesikia upande wa pili kwa hiyo tuweka maneno makali akiba ya baadaye.
Pili kwa anayeijua ndoa vizuri, angeweka akiba ya maneno. Mwanamke sio wa kumlaumu kabisa hata kama ana makosa. Changamoto za ndoa hata siku moja haziwezi kunifanya mimi mwanaume niondoe roho yangu. Nakabiliana na changamoto hizo na ndio ndoa halisi na ndio maisha halisi. Dunaiani hakuna mteremko
nani amemsaidia watu wote mitandaoni mnamcheka huku......mnasubiri ajiue muonyeshe huruma wanafiki wakubwa nyie!Unauhakika gani kama Le mutuz hajasaidiwa kisaikolojia?
Ila nmetoa ushaur hapo juu,ukifaa chukua ,utakusaidia mkuu.
NB: Mtu kuwa mbea Kujua kinacho sumbua akili yako,BILA kuambiwa na yeye mwenyew ni NGUMUUUUU.
Ila mganga hatafut mgonjwa .
Karibu
Wengine ni wagumu kusema mambo ya nyumbani, wanaona kama ni kujidhalilisha.Hakuwa na marafiki imara
We !! we!! we!! unawajua hawa ndugu vizuri? akiamua kubadilika anakuwa kama nyati. Kuondoka hataki anakuwa kama gundi ni kukunyanyasa tuu staili apendayo yeyeApumzike kwa amani. Ila sisi wanawake jamani.
Huyo mwanaume nae ni mbinafsi unajiua unaacha watoto. Sasa akijiua ndo Eng hataacha kumla mke wake au? Wanawake tulivyo wengi si angejichagulia mmoja wake amkomeshe mke wake na yeye.
Pic yake iko wapUnaweza kukuta marahemu aliona msg jamaa akisifia marinda ya mkewe matamu wakat yeye hajawahi hata kuyagusa...huyo mwanamke anaonekana kala chmvi sn.
Watu hawa ambao wanakuwaga wapole huwa wanaenda kubeba magubegube mara nyingi
Alijua anapendwa ndo maana aliamua kumtesa mume wake. Mwenzie kaenda na yeye hatakua na furaha tena.We !! we!! we!! unawajua hawa ndugu vizuri? akiamua kubadilika anakuwa kama nyati. Kuondoka hataki anakuwa kama gundi ni kukunyanyasa tuu staili apendayo yeye
Labda kama imetolewa ila kuna mdau kairusha kwny post zilizopitaPic yake iko wap
Msaidie wew mkuu,Huenda una msaada WA KIPEKEE kuliko wote,na huenda NDIO utakao msaidia..nani amemsaidia watu wote mitandaoni mnamcheka huku......mnasubiri ajiue muonyeshe huruma wanafiki wakubwa nyie!
Daah hilo ndilo tatizo , na papuchi ya engineer inaelekea ni tamu , sema marehemu alikosea kuwa king'ang'aniziNdio hataipata tenaa sasa
dah s sad..!!ila hawa wanawake kuna namna ya kwenda nao ili usiumie..!!la sivyo!!Ndiku alikufa kwa depression(sononeko) alikua anampenda mke wake sana kama ulimfuatilia kuna kipindi alikua anaandika vitu vya ajabu kumlalamikia Irene Insta na akina Wolper wakamtukana sana
we mama umenena ukweli laiti kila mtu angezingatia huu msemo yasingetokea ila kumbuka mwanaume ukiwa Mario you have nothing to invest only your life....
invest of what you are willing to lose
Cc RetiredMuda wote alikuwa anaperuzi JF.
Kumbe wenzake wanamsaidia
Sasa kwenye forex lazima hii kitu uikubaliwe mama umenena ukweli laiti kila mtu angezingatia huu msemo yasingetokea ila kumbuka mwanaume ukiwa Mario you have nothing to invest only your life