harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na amewatendea haki.Wakiwa wao kimyaa,,ila marehemu nae bana anawawakilisha wanaume wa jf
Ukifanya root cause analysis tatizo limeanzia hapa!baba naye ana mchango mkubwa kwenye uamuzi wa YonaBaba mzazi wa Yona yupo vizuri sana kipesa pia hisipokua , alioa mke mwingine Yona na. Ndugu zake wa mama mmoja na mama Yao ambae ni mke wa ndoa wakatelekezwa baba akawa anajali zaidi watoto wa bi mdogo. watoto wote wa bi mdogo wamesoma University England na huko Tanzania walisoma feza international baba yake Yona ndio yule mmiliki wa Fares Kisingo international school (Fk international ) mbezi beach
Tussle ukweli kijana alipwaya kwa injinia ukisikiliza clip na kuangalia picha zao cc espyMmm! It might be true
KabisaaNa amewatendea haki.
Baba hahusiki hai,sisi mengine tulishazika wazazi wote kitambo sana na tupo tuna hustleUkifanya root cause analysis tatizo limeanzia hapa!baba naye ana mchango mkubwa kwenye uamuzi wa Yona
Baba yako alikutelekeza na kujali watoto wa mama mwingine?kisaikolojia huyu jamaa alikua anaogopa rejection nyingine kutoka kwa mtu aliyempenda na kumuamini!usichukulie poa hivi vitu hata wewe ukifanyiwa evaluation ya kisaikolojia utakua na tabia au hofu inayotokana na kutoishi na wazazi "kitambo" kuwa na mafanikio ya material isikudanganye kwamba vifo vya wazazi wako havijakuathiri kisaikolojiaBaba hahusiki hai,sisi mengine tulishazika wazazi wote kitambo sana na tupo tuna hustle
Sijakataa athari ,lazima ziwepo.Kujitoa uhai na mtu una elimu na ujuzi wa kukufanya uishi kisa tuu umekataliwa na mke au Mme anakusaliti ni failure kuwa sana.Athari za rejection na betrayal zipo lakini hazitoshi kutufanya tujikamue uhai.Binafsi mke alinikimbia mwaka miwili sasa na niliyenaye ananikwanza mambo mengi lakini sijawahi kata tamaa ya kuishi nifikirie kujitoa uhai.Baba yako alikutelekeza na kujali watoto wa mama mwingine?kisaikolojia huyu jamaa alikua anaogopa rejection nyingine kutoka kwa mtu aliyempenda na kumuamini!usichukulie poa hivi vitu hata wewe ukifanyiwa evaluation ya kisaikolojia utakua na tabia au hofu inayotokana na kutoishi na wazazi "kitambo" kuwa na mafanikio ya material isikudanganye kwamba vifo vya wazazi wako havijakuathiri kisaikolojia
Tunatofautiana Emotional Intelligence jinsi ya kupambana na matatizo kuna watu wanahisi kuwa na IQ kubwa ndio hivyo hivyo itakuwa kwa EQ!unaweza kuwa genius ila ukawa na EQ ndogo sanaSijakataa athari ,lazima ziwepo.Kujitoa uhai na mtu una elimu na ujuzi wa kukufanya uishi kisa tuu umekataliwa na mke au Mme anakusaliti ni failure kuwa sana.Athari za rejection na betrayal zipo lakini hazitoshi kutufanya tujikamue uhai.Binafsi mke alinikimbia mwaka miwili sasa na niliyenaye ananikwanza mambo mengi lakini sijawahi kata tamaa ya kuishi nifikirie kujitoa uhai.
Ila kujiua kisa mpenzi,itasubiri sanaaTunatofautiana Emotional Intelligence jinsi ya kupambana na matatizo kuna watu wanahisi kuwa na IQ kubwa ndio hivyo hivyo itakuwa kwa EQ!unaweza kuwa genius ila ukawa na EQ ndogo sana
Ha ha never say neverIla kujiua kisa mpenzi,itasubiri sanaa
Kwa mawazo hayo...nadhani kuna watu mlitakiwa muwe ICU, trump hajakosea kabisa...ila kati yetu kuna ambao wapo taabani hata ukiwaweka milembe watasema ni wazima.Mkuu kama hujapata matatizo utaona jambo la ajabu sanaa ila yakikukuta utaona kujiua au kuua ni jambo rahisi sanaaa.
Hata Mimi nakuunga mkono,siwezi kujiua kisa mpumbavu Fulani mahala Fulani.Kwa mawazo hayo...nadhani kuna watu mlitakiwa muwe ICU, trump hajakosea kabisa...ila kati yetu kuna ambao wapo taabani hata ukiwaweka milembe watasema ni wazima.
Kwa ufupi mkuu;
Nina watoto 3 ambao nawalea, hawa watoto baba yao alifanya ujinga km huo unaoutetea wewe. Makosa take ndio nimebeba mzigo wake ...yaani mfanye mapenzi mzae haraka haraka watoto...alafu ujiue...pumbavu!!!. Sababu wanasingizia mke!!!....
Huo upumbavu naulaani milele yote
and vice versa is true !wanawake wenzangu msiumie mioyo yenu kisa wanaume!huko nje kuna wanaume wema mno mno wa kuwaoeni !mgangamale tu !Wadau wengine plz msifanye hiki kitu...wanawake ni wengi sana wa kuoa. Sawa inauma ila usijiue sababu ya mtu fulani fulani
Aisee huyu Dada alikuwa anamnyanyasa sana jamaa, alikuawa anamrudia usiku wa manane. Huyu kijana alikuwa mpole halafu tee. Baba yake alikuwa anakula huyu Dada sasa ni marehemu.Nge, nge tunaisema tu sasa hivi ila hatujui aliyoyafanya kumrekebisha mkewe.Saikolojia ya mwanaume kwa mke sio kitu cha kuchezea au kukisemea sana hasa kama mwanamke hamtii mumewe kwa kufanya ngono waziwazi nje ya ndoa.Hii ikitokea mwanaume hulipuka na kufanya makubwa yasiyofikirika. Huyu marehemu yaelekea alikuwa mtu mpole na mkimya, asiyetaka ugomvi na vurumai.Mwanaume wa kawaida angemkwida mkewe na kusokota shingo yake au kuikatakata.Lakini huyu bwana Maro akaona kwa nini kumfanyia mkewe mabaya? Akaamua atokomee kwenye ulimwengu huu awaache mainjinia waendelee kukarabatiana injini zao.
Pumzika kwa amani bw Maro, uliyoyaacha Mungu atayaweka sawa. Poleni sana wanafamilia ya Maro.
espy nacheka na comment zako jaman !hahahaaa we mkavuuu khaaMungu wetu sote.