TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Ukifanya root cause analysis tatizo limeanzia hapa!baba naye ana mchango mkubwa kwenye uamuzi wa Yona
 
Baba hahusiki hai,sisi mengine tulishazika wazazi wote kitambo sana na tupo tuna hustle
Baba yako alikutelekeza na kujali watoto wa mama mwingine?kisaikolojia huyu jamaa alikua anaogopa rejection nyingine kutoka kwa mtu aliyempenda na kumuamini!usichukulie poa hivi vitu hata wewe ukifanyiwa evaluation ya kisaikolojia utakua na tabia au hofu inayotokana na kutoishi na wazazi "kitambo" kuwa na mafanikio ya material isikudanganye kwamba vifo vya wazazi wako havijakuathiri kisaikolojia
 
Sijakataa athari ,lazima ziwepo.Kujitoa uhai na mtu una elimu na ujuzi wa kukufanya uishi kisa tuu umekataliwa na mke au Mme anakusaliti ni failure kuwa sana.Athari za rejection na betrayal zipo lakini hazitoshi kutufanya tujikamue uhai.Binafsi mke alinikimbia mwaka miwili sasa na niliyenaye ananikwanza mambo mengi lakini sijawahi kata tamaa ya kuishi nifikirie kujitoa uhai.
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu

Marehemu Mungu ampumzishe kwa amani
 
Tunatofautiana Emotional Intelligence jinsi ya kupambana na matatizo kuna watu wanahisi kuwa na IQ kubwa ndio hivyo hivyo itakuwa kwa EQ!unaweza kuwa genius ila ukawa na EQ ndogo sana
 
Tunatofautiana Emotional Intelligence jinsi ya kupambana na matatizo kuna watu wanahisi kuwa na IQ kubwa ndio hivyo hivyo itakuwa kwa EQ!unaweza kuwa genius ila ukawa na EQ ndogo sana
Ila kujiua kisa mpenzi,itasubiri sanaa
 
Mkuu kama hujapata matatizo utaona jambo la ajabu sanaa ila yakikukuta utaona kujiua au kuua ni jambo rahisi sanaaa.
Kwa mawazo hayo...nadhani kuna watu mlitakiwa muwe ICU, trump hajakosea kabisa...ila kati yetu kuna ambao wapo taabani hata ukiwaweka milembe watasema ni wazima.
Kwa ufupi mkuu;
Nina watoto 3 ambao nawalea, hawa watoto baba yao alifanya ujinga km huo unaoutetea wewe. Makosa take ndio nimebeba mzigo wake ...yaani mfanye mapenzi mzae haraka haraka watoto...alafu ujiue...pumbavu!!!. Sababu wanasingizia mke!!!....
Huo upumbavu naulaani milele yote
 
Hata Mimi nakuunga mkono,siwezi kujiua kisa mpumbavu Fulani mahala Fulani.
 
Wadau wengine plz msifanye hiki kitu...wanawake ni wengi sana wa kuoa. Sawa inauma ila usijiue sababu ya mtu fulani fulani
and vice versa is true !wanawake wenzangu msiumie mioyo yenu kisa wanaume!huko nje kuna wanaume wema mno mno wa kuwaoeni !mgangamale tu !
 
Aisee huyu Dada alikuwa anamnyanyasa sana jamaa, alikuawa anamrudia usiku wa manane. Huyu kijana alikuwa mpole halafu tee. Baba yake alikuwa anakula huyu Dada sasa ni marehemu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…