Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 303
Hatutaki wachezaji wezi waje simba abaki huko huko kwa wala Tambuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yondan asifkirie kiwango chake kupanda na kuweza kuweza kucheza soka nje atavuma yanga kwa siku chache za usajiri then ataikumbuka simba kuwa ndio club bora tz .my take yanga wana soka la kisiasa ambalo ni maneno na wakianza kufungwa huwa wanapoteana
Mkuu naona unachanganya sana mada,Yanga siasa zitoke wapi?....Siasa zipo Simba na ndo maana inaongozwa na Mwanasiasa
Miaka saba baadae...Yondan asifkirie kiwango chake kupanda na kuweza kuweza kucheza soka nje atavuma yanga kwa siku chache za usajiri then ataikumbuka simba kuwa ndio club bora tz .my take yanga wana soka la kisiasa ambalo ni maneno na wakianza kufungwa huwa wanapoteana
Miaka saba baadae...
Nimekumbuka kagame aliwaalika Yanga ikulu ya Rwanda bila shaka ni mshabiki wa kijani na njanoHata mimi naona anajuta,
View attachment 62788
Yondani na wenzake akijuta huko Kigali, hapa walikuwa Ikulu ya Rwanda wakijiandaa kupata msoc na President Paul Kagame.
Kufungwa 5-0 sio ishu, hata r.madrid alifungwa 5 na Barcelona lakini ni bingwa wa kihistoria wa ulaya , hispania na klabu bingwa duniaYanga huwa wanakuwa na furaha sana kipindi cha usajili, lakini wanakuwa na huzuni sana baada ya mechi na Simba. Mwaka jana walimbeba Asamoah airport, wakamvalisha jezi yenye jina la Rage, lakini walipokuja kucheza na Simba, walichapwa 5-0. Sasa sijajua furaha ya usajili ina maana gani kama majembe yote yanapangwa halafu timu inafungwa goli tano!