isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
Yondo Sister hajafa.
Bado yuko hai na mtoto wake yule mmoja na pekee wa kike tunakaa nae huku Kinondoni Manyanya.
Jumapili iliyopita alikuja kumtembelea mwanae, ila amezeeka zeeka.
yuko nchi gan uyu mwanamama mauno wa enzi hzo!...afu madame umeadimika kule kwe2 ukubwani!
Ufaransa, wiki tatu nyuma, Zuberi Msabaha wa Radio Free Africa aliongea nae saa4 usiku kwenye kipindi cha Bolingo Time. Kusala(Yondo Sister) alieleza kuwa anaishi Ufaransa, mambo ya watoto na ndoa alikataa akidai kuwa hapendi kudisclose mambo yake ya kifamilia. Kihistoria anasema babu yake ni Mbelgiji kabisa hivyo ni yeye ni halfcast. Alipoulizwa wanamuziki wenzie wa iliyokuwa Soukouss Stars wako wapi na wanafanya nini, nilishangaa aliposema: Balou Canta, Ngouma Lokito, Dally Kimoko, Shimita na wengine bado wako France na wanapiga music na akijibu kuwa mashabiki wa Africa Mashariki, akipatikana mdhamini wako tayari kuja. Alipoulizwa kwa nini anazungumza Kiswahili fasaha alidai KIDOGO TU. Kwa hiyo yupo hai. Ukitaka kumwona mtoto wake Yondo, utamwona kwenye album yake Yondo( Siyo na Soukouss Stars). Album hii ina nyimbo kama: Madi, Africa, Derniere Minute n.k. Huyo binti kafanana nae sana Yondo Sister kwa wakati huo alikuwa ni mnenguaji. Nenda You Tube halafu search: Yondo Sister- MADI, ni wimbo ambao utagundua Dally Kimoko ni mchawi wa Guitar/gitaa.
Chaza naomba urafiki.Ufaransa, wiki tatu nyuma, Zuberi Msabaha wa Radio Free Africa aliongea nae saa4 usiku kwenye kipindi cha Bolingo Time. Kusala(Yondo Sister) alieleza kuwa anaishi Ufaransa, mambo ya watoto na ndoa alikataa akidai kuwa hapendi kudisclose mambo yake ya kifamilia. Kihistoria anasema babu yake ni Mbelgiji kabisa hivyo ni yeye ni halfcast. Alipoulizwa wanamuziki wenzie wa iliyokuwa Soukouss Stars wako wapi na wanafanya nini, nilishangaa aliposema: Balou Canta, Ngouma Lokito, Dally Kimoko, Shimita na wengine bado wako France na wanapiga music na akijibu kuwa mashabiki wa Africa Mashariki, akipatikana mdhamini wako tayari kuja. Alipoulizwa kwa nini anazungumza Kiswahili fasaha alidai KIDOGO TU. Kwa hiyo yupo hai. Ukitaka kumwona mtoto wake Yondo, utamwona kwenye album yake Yondo( Siyo na Soukouss Stars). Album hii ina nyimbo kama: Madi, Africa, Derniere Minute n.k. Huyo binti kafanana nae sana Yondo Sister kwa wakati huo alikuwa ni mnenguaji. Nenda You Tube halafu search: Yondo Sister- MADI, ni wimbo ambao utagundua Dally Kimoko ni mchawi wa Guitar/gitaa.
Yondo Sister hajafa.
Bado yuko hai na mtoto wake yule mmoja na pekee wa kike tunakaa nae huku Kinondoni Manyanya.
Jumapili iliyopita alikuja kumtembelea mwanae, ila amezeeka zeeka.
Ufaransa, wiki tatu nyuma, Zuberi Msabaha wa Radio Free Africa aliongea nae saa4 usiku kwenye kipindi cha Bolingo Time. Kusala(Yondo Sister) alieleza kuwa anaishi Ufaransa, mambo ya watoto na ndoa alikataa akidai kuwa hapendi kudisclose mambo yake ya kifamilia. Kihistoria anasema babu yake ni Mbelgiji kabisa hivyo ni yeye ni halfcast. Alipoulizwa wanamuziki wenzie wa iliyokuwa Soukouss Stars wako wapi na wanafanya nini, nilishangaa aliposema: Balou Canta, Ngouma Lokito, Dally Kimoko, Shimita na wengine bado wako France na wanapiga music na akijibu kuwa mashabiki wa Africa Mashariki, akipatikana mdhamini wako tayari kuja. Alipoulizwa kwa nini anazungumza Kiswahili fasaha alidai KIDOGO TU. Kwa hiyo yupo hai. Ukitaka kumwona mtoto wake Yondo, utamwona kwenye album yake Yondo( Siyo na Soukouss Stars). Album hii ina nyimbo kama: Madi, Africa, Derniere Minute n.k. Huyo binti kafanana nae sana Yondo Sister kwa wakati huo alikuwa ni mnenguaji. Nenda You Tube halafu search: Yondo Sister- MADI, ni wimbo ambao utagundua Dally Kimoko ni mchawi wa Guitar/gitaa.
Mkuu umewekeza huko CONGO!
Chaza naomba urafiki.

Namkubali huyo jamaa, hata katika wimbo Wapi Yo ameufanyia heshima ya aina yake lakini Diblo Dibala ni mchawi halisi ya Guitar. Ukisikiliza/ukiangali kibao cha Matchatcha Laisser Paisser
beaucoup!Merci!!!!!!!!.