Yondo Sister yupo hai? Naombeni historia yake

Respect
 

Ndio maana nikasema mkuu Chaza ana 'mahaba' na Dally Kimoko !
maana lile gitari la umeme la Saladdin na Soukous Star linamtoa jasho Dally Kimoko !
 
Ndio maana nikasema mkuu Chaza ana 'mahaba' na Dally Kimoko !
maana lile gitari la umeme la Saladdin na Soukous Star linamtoa jasho Dally Kimoko !

Mnamo 23/12/2009, bwana Kakuruvi alianzisha thread: Diblo Dibala na Dally Kimoko! Wachangiaji wengi walikubali haya yote ni majembe kwa gitaa. Lakini akichangia thread hiyo 25/12/2009 bwana aitwae Sikonge aliandika maneno haya, nanukuu: 'Kiufundi Diblo Dibala alikuwa akipiga gitaa Kiafrika zaidi yaani nyuzi moja moja, Dally Kimoko alianza kuweka zile sauti za gitaa kama za Rock Musics yaani ufundi wa akina Slash wa Gun N' Roses au mzee Jimmy Hendrix', mwisho wa kunukuu, hapa inaonyesha kuna ladha fulani Dally aliongeza, ijapokuwa kweli Diblo lile Gitaa la kulia kama maji alilopoga na Matchatcha, da siyo mchezo!
 
Yondo Sister hajafa.
Bado yuko hai na mtoto wake yule mmoja na pekee wa kike tunakaa nae huku Kinondoni Manyanya.
Jumapili iliyopita alikuja kumtembelea mwanae, ila amezeeka zeeka.

Mmmh, sawa madame, thanx for info
 

Live Zenith 99' concert ilofanya Mpiana akapewa Golden CD,
 

Mjomba acha utani bana!! unasema Dally Kimoko au Hamza Kalala??
 
jaman nimekuwa na mkanganyiko kutokana na historia ya mwanamziki yondo sister wengine wanasema alishakufa wengine yupo hai du nashindwa kuelewa wajama naomba mnisaidie historia nzima ya yondo sister.ahsanten

mtafute Tontooo Zuberi Mwana wa Musabah Voti Laki 6 kila j4 saaa nne kamili mpk saa saba kamil 9t mare
 
Mhhh! Hahahahahaha, Sasa hata nikiweka link ikiwa bado unatumia ile Nokia 3310 ndio uta-download kweli? Melodie ya kitoko!

uwiiiiiiiiii,,,, sa ivi nina ki laptop..... nimepata audio tu sa me nataka video weka basi unajua nimepewa dedication huo wimbo.
 

Asee we CHAZA wa Kinshasa nn? Maana unatiririka hadi naogopa jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…