isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
- Thread starter
-
- #141
Respect
Respect bro chaza naomba phone namba yako kaka
ewaaa tiba umepata tinna cute! morning
kweli mkuu hata mimi nakumbuka.ni enzi zetu zileee za kudanganyana.thanks to whoever invented google....ila mimi napenda kujua alipo mwanamziki GATO.ilivumishwa miaka ile eti alikutwa na madawa ya kulevya na akafungwa.nam google ila info zake ni kama hazipo.
Kimbangu mbangulile ma japonais maladi... hizi mutu zinapiga mashow hatareee sana....Mkuu koooote umepatia ila kusema Diblo ni zaidi ya Kimoko sikubaliani na wewe! Angalia kimoko amefanya colabo na wanamuziki wangapi compared to Diblo.
Tukija ktk kizazi kipya there is no doubt Patou Solo anatisha, Framme Kapaya alivyokua WMM alikua moto wa kuotea mbali but kwa sasa hamna kitu,
NB: usiwasahau Kimbagu Solo, Japornaid, nao wanajitahidi