Yondo Sister yupo hai? Naombeni historia yake

Yondo Sister yupo hai? Naombeni historia yake

Invisible amewahi kuweka mada moja kuhusu mauno ya Yondo Sister. Mada yenyewe iko HAPA.
 
kweli mkuu hata mimi nakumbuka.ni enzi zetu zileee za kudanganyana.thanks to whoever invented google....ila mimi napenda kujua alipo mwanamziki GATO.ilivumishwa miaka ile eti alikutwa na madawa ya kulevya na akafungwa.nam google ila info zake ni kama hazipo.

Yupo America Atlanta GA. Kawa pizza delivery.
 
Mkuu koooote umepatia ila kusema Diblo ni zaidi ya Kimoko sikubaliani na wewe! Angalia kimoko amefanya colabo na wanamuziki wangapi compared to Diblo.
Tukija ktk kizazi kipya there is no doubt Patou Solo anatisha, Framme Kapaya alivyokua WMM alikua moto wa kuotea mbali but kwa sasa hamna kitu,
NB: usiwasahau Kimbagu Solo, Japornaid, nao wanajitahidi
Kimbangu mbangulile ma japonais maladi... hizi mutu zinapiga mashow hatareee sana....
 
Back
Top Bottom