GE2025 Yosepha Komba: Hakuna namna unaweza kuzuia uchaguzi ikiwa si sehemu ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa wanaotaka kuuzuia si sehemu ya uchaguzi husika

Akihutubia kwenye Viwanja vya Genge leo Julai 12, 2025 Muheza Mkoani Tanga, Yosepha amedai kuwa CHAUMMA inaamini njia pekee ya kupata mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi ni pamoja na kuwa na wawakilishi wa kutosha kwenye Bunge la Tanzania, akisema Vyama vya siasa kususia uchaguzi ni kukipa nafasi Chama Cha Mapinduzi kuweza kuhodhi Bunge na hivyo kuwa ngumu kufanya mabadiliko ya sheria yanayohimizwa na vyama hivyo.

​
Chanzo: Jambo Tv
 
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.
 
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa wanaotaka kuuzuia si sehemu ya uchaguzi husika

Akihutubia kwenye Viwanja vya Genge leo Julai 12, 2025 Muheza Mkoani Tanga, Yosepha amedai kuwa CHAUMMA inaamini njia pekee ya kupata mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi ni pamoja na kuwa na wawakilishi wa kutosha kwenye Bunge la Tanzania, akisema Vyama vya siasa kususia uchaguzi ni kukipa nafasi Chama Cha Mapinduzi kuweza kuhodhi Bunge na hivyo kuwa ngumu kufanya mabadiliko ya sheria yanayohimizwa na vyama hivyo.

Mkuu kwa nchi hii upinzani hauwezi kuchukua madadaka bila mabadiliko. Mfano unakumbuka kilichompata maalum seif baada ya uchaguzi kufutwa?
 
Back
Top Bottom