erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Hivi walimkataza kuchukua?Kilichonishangaza ni mpina kukatazwa kurudisha form wakati form ni mali ya tume
Form alichukua ila wamemzuia kurudisha ili ateuliwe rasmiHivi walimkataza kuchukua?
TumeambiwA hana 'ngozi ngumu'!Mpina atabaki na form kama kumbukumbu
Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
watulie sindano iwaingie, si walikimbilia kusaini kanuni za maadili za uchaguzi zilizotolewa na Tume feki ya FISIEMUSheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
kwa hiyo amerudi nazo nyumbani?Kilichonishangaza ni mpina kukatazwa kurudisha form wakati form ni mali ya tume
HEEEEEE! kumbe kuna tume?Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
Hiyo sijui akitaka azitupekwa hiyo amerudi nazo nyumbani?
Ipo siku mtaelewa maana ya reforms tuSheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
tume wametoa fomu halafu wanamzuia mgombea kuwarudishia, si angeingia na kuwasilisha fomu wao wangepokea na kuzipitia halafu wanatangaza hajateuliwa kwa grounds walizonazo. Haiwezekane utoe formu halafu ulete askari kuzuia mtu uliyempa fomu asirudishe. Kama TUME haina room ya rufaa au maelezo ndo tume huru kweli!Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
Kajiengezea CV , sio hatua ndogo hiokwa hiyo amerudi nazo nyumbani?