Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

Kuchukua fomu ni kiasi gani? Na je Tume watarudisha hizo Fedhaa
 
tume wametoa fomu halafu wanamzuia mgombea kuwarudishia, si angeingia na kuwasilisha fomu wao wangepokea na kuzipitia halafu wanatangaza hajateuliwa kwa grounds walizonazo. Haiwezekane utoe formu halafu ulete askari kuzuia mtu uliyempa fomu asirudishe. Kama TUME haina room ya rufaa au maelezo ndo tume huru kweli!

Ndo inaitwa maagizo toka juu
 
Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
ZITTO NI MPUUZI TU ....
 
Kama kweli wamekataa kupokea fomu za Mpina wamekiuka,Tume hawakumtendea haki.
 
AcT walisema Tume walishafanya reforms hivyo tuingie kwenye uchaguzi,
Na mimi nasisitiza hivyo, reform zilishafanyika Tume haina kipengele labda uje nacho wewe na chama chako,

Kanyaga twende INEC✔️

..hii Tume ni kituko.

..Sheria ya Tume Huru imepitishwa na Bunge.

..lakini ndani yake kuna kipengele kimechomekwa eti tume iliyopo itaendelea mpaka itakapomaliza muda wake.

..Ndio maana unaona inaitwa Tume Huru lakini bado ina wajumbe walewale wa Tume iliyokuwa ikilalamikiwa.
 
Sema Hizi ni series nyingine za vituko.

Walikua wapi wakati wanapa Form?, Tume haioni mpaka ioneshwe na wadau? Na kwanini hawajachukua hatua wala kutoa tamko kwa mwana ccm alie pinga uteuzi wa SSH?
 
Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi
Screenshot_20250824-113512~2.png
 
Hakuna tume hapo kuna utapeli tupu
 
tume wametoa fomu halafu wanamzuia mgombea kuwarudishia, si angeingia na kuwasilisha fomu wao wangepokea na kuzipitia halafu wanatangaza hajateuliwa kwa grounds walizonazo. Haiwezekane utoe formu halafu ulete askari kuzuia mtu uliyempa fomu asirudishe. Kama TUME haina room ya rufaa au maelezo ndo tume huru kweli!
Hakuna tume hapo kuna tawi la CCM na utapeli tupu
 
Yale maombi ya siku 9 yameanza kujibu si mnaona wameanza kujichanganya kama wajenzi wa mlima wa baberi
 
Back
Top Bottom