Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

Kuchukua fomu ni kiasi gani? Na je Tume watarudisha hizo Fedhaa
 


Ndo inaitwa maagizo toka juu
 
ZITTO NI MPUUZI TU ....
 
Kama kweli wamekataa kupokea fomu za Mpina wamekiuka,Tume hawakumtendea haki.
 
AcT walisema Tume walishafanya reforms hivyo tuingie kwenye uchaguzi,
Na mimi nasisitiza hivyo, reform zilishafanyika Tume haina kipengele labda uje nacho wewe na chama chako,

Kanyaga twende INEC✔️

..hii Tume ni kituko.

..Sheria ya Tume Huru imepitishwa na Bunge.

..lakini ndani yake kuna kipengele kimechomekwa eti tume iliyopo itaendelea mpaka itakapomaliza muda wake.

..Ndio maana unaona inaitwa Tume Huru lakini bado ina wajumbe walewale wa Tume iliyokuwa ikilalamikiwa.
 
Sema Hizi ni series nyingine za vituko.

Walikua wapi wakati wanapa Form?, Tume haioni mpaka ioneshwe na wadau? Na kwanini hawajachukua hatua wala kutoa tamko kwa mwana ccm alie pinga uteuzi wa SSH?
 
 
Hakuna tume hapo kuna utapeli tupu
 
Hakuna tume hapo kuna tawi la CCM na utapeli tupu
 
Akaihifadhi Kwenye Makabati Yake Ya Mafaili..Itabaki Kama Kumbukumbu​
 
Yale maombi ya siku 9 yameanza kujibu si mnaona wameanza kujichanganya kama wajenzi wa mlima wa baberi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…