Yote Maisha

Yote Maisha

Huyo mwana mama ndo typical Tanzanian woman... wenye maisha mazuri
sasa hivi yawe ya uwezo wa kujikimu ama ya utajiri weeeengi ndo source yao huyo mwanamama
ndo alie walea... Umenikumbusha my late Bibi (may she rest in peace..) alikua
single parent na kalea wanae watato peke yake... wasomi watatu.. kwa njia ya vitumbua...
 
7.jpg

Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.

Na huyu ni mwakilishi wake bungeni. Yote maisha.

attachment.php
 
7.jpg

Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.

....dahhh, kamanda hii picha imenigusa sana.
dahhh, ama kweli yote maisha...

tumshukuru mw'mungu kwa chochote tulichojaaliwa.
 
Ngoja niumue unga wangu wa vitumbua nitengeneze kama hivyo.. Vinavutia hatari..
 
Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi ninakaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!

Kumbe wewe ni fisadi kiasi hicho? Yaani maandazi 2 ya shs 50 kila moja unaacha 900 zote? Au ulitaka kumpora mtu mke wake?

Angalia sana Bro unapokuwa huku kwetu uswazi ....kila unachofanya kina maana zaidi ya ile uliyokusudia! Shauri yako usije kusema kuwa nilikutupa, sikukustua!

Babu DC!
 
Hivi mkuu (Masa), unakumbuka zile chapati tulikuwa tunakula pale Ghaza???

Nasikia hvyo vyote (chapati, vitumbua n.k) vinafanyiwa uchakachuaji ili kuvutia wateja???

Babu DC, 1947!!
 
Ndiyo maana heshima, shukrani, kuwaombea na kuwasaidia wazazi wetu ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu..Unaweza kukuta au wakakuhadithia 'sacrifice' walizozipitia kukulea hadi inasikitisha na kujiona mwenye bahati sana!!...
 
Kumbe wewe ni fisadi kiasi hicho? Yaani maandazi 2 ya shs 50 kila moja unaacha 900 zote? Au ulitaka kumpora mtu mke wake?

Angalia sana Bro unapokuwa huku kwetu uswazi ....kila unachofanya kina maana zaidi ya ile uliyokusudia! Shauri yako usije kusema kuwa nilikutupa, sikukustua!

Babu DC!

Maj Gen DC

Nilifanya hayo kwa moyo mweupe bila kuwaza waaa lolote. Shahidi yangu ni muumba wa nchi na mbingu.
 
Maj Gen DC

Nilifanya hayo kwa moyo mweupe bila kuwaza waaa lolote. Shahidi yangu ni muumba wa nchi na mbingu.

Mhhhhh Bro,

Huyo shahidi uliyemwongelea ni wa hatari sana.. Siku akiitwa mahakani hadi ufike utakuwa umeshaozea Segerea kama Babu Seya!!
 
[QUOTE]No one screws your life, unless you gave them the screw driver! - MJ1 june 2011[/QUOTE]

powerful message from our own Gaga......................
 
[h=2][/h]
Ngoja niumue unga wangu wa vitumbua nitengeneze kama hivyo.. Vinavutia hatari..

la muhimu ni kula kwa kipimo...................
 
Mkuu hiyo sasa ndo inafaa kwa siku izi kuwa sadaka, make wachungaji wengi siku izi hawaaminiki.

Isitoshe wengi wao wanamiliki mali za anasa.

Na sadaka za hivi zinarudisha majibu ya ajabu yaani unabarikiwa mpaka unashangaa. Mi siku hizi sitoi fungu la kumi kanisani, kila mwezi natafuta watu mbali mbali wenye shida ndio nawapa.
 
7.jpg
Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.
umegusa historia yangu halisi,namuombea mama yangu na wamama wengine wote baraka za Mungu,Mungu awatie nguvu
 
mimi mama angu akisema hana hela nitaenda kukopa ili nimpe au nitatoa akiba oote niloweka nimpe, i used to call ma mom "SUPA MAMA"....... maaama mama mama,uwezo wa kukulipa sina........................................:happy::happy:
 
7.jpg

Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.

Sijui mama anapokuwa baba anakuwa wapi. Si ajabu na yeye anamendea azichukue akanywe pombe na kujisifu na wenzie.

I love you my Mama.
 
mimi mama angu akisema hana hela nitaenda kukopa ili nimpe au nitatoa akiba oote niloweka nimpe, i used to call ma mom "SUPA MAMA"....... maaama mama mama,uwezo wa kukulipa sina........................................<IMG class=inlineimg title=Happy alt="" src="https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/happy.gif" border=0 smilieid="196"><IMG class=inlineimg title=Happy alt="" src="https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/happy.gif" border=0 smilieid="196">
 
Back
Top Bottom