Yote Maisha




yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.


da! Wazazi wetu wanajitoa kwa mengi sana mpaka tunapofikia hatua ya kukua na kuanza kujitegemea wenyewe,
hongera nyingi sana kwa wa mama wote wanaotimiza wajibu wao katika makuzi na malezi ya watoto wao.


Navitamani hivyo vitumbua japo vipo pichani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…