CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ulivyo sasa hivi ni matokeo ya kile unacho waza au unacho fanya.Ulivyo sasa ni uwekezaji ulio ufanya kichaani mwako.
Sasa swali je kwenye akili zako kuna uwekezaji gani?
Unawaza nini akilini mwako? Je mshahara mkubwa sana? Kuongezewa cheo? Kulipwa Overtime?
.Au unawaza kuwa Bilionare? na si kuwaza tu bali na kutenda pia
Sent using Jamii Forums mobile app