Jamani Nnaimani Kilio changu kimepata Sikio la Kukisikiliza Asante sana Ewe Uliweza Kunielewa na Kunipa Nafasi Japo ni Mapema Kusema Mengi Ila nachukua Fursa Hii Kukushukuru kwa kuwa Muelewa na pia kuwaambia Wengine kwamba sidhani kama Kuna Haja ya Hii Thread Kuendelea kuwa Live, Asante Sana "........" Kwa heshima yako nimeweka jina kampuni ila kwa kuwa unajijua waweza niruhusu au Kunikataza. Thank you.