You broke my heart cacico...!!!

Na huyo mbwa pia alitakiwa kukaguliwa?

Itabidi uwafundishe kukagua Na sio kupekua.
They will value you for their whole life.

khaaa mimi tena?? aongea basi na Asprin kama kamaliza ukaguzi nirudi kwake nikapekuliwe! lolest!
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.

Upekuzi: Vijana, masharobaro.



Ukaguzi: Wazee, mababu.




Imetolewa na mimi babu yenu ODM wa wajukuu.
 
Last edited by a moderator:
alikwenda naye kwao nasikia, then mshkaji akalala kwenye gari, alipostuka saa 11 alfdajiri akawasha mkoko wake ili awahi home kwake, si ndio kupata ajali mbuyuni!! lol mi nilipigiwa simu jana kupewa hizo news! lolest ulevi noumer!

aisee umeamin kuwa mimi ni kiona mbali? bora tungeenda zetu kucheza mziki nyumbani lounge kuliko kunywa kiasi kile. na nilikwambia weye mbishi na mukenya na dj walitaka kweli twende mziki. ngoja nimnyanyulie waya kwanza nimeskitikaje jamani?

shostito naye kumlaza ,wenziye mkokoni ndo nini?
 
Wewe ni maalumu kwake. Angalia vizuri Hilo shairi...
Nenda kamtibu my mdogo.
@Remmy kha! umetumwa??? umenikomalia balaaa, sina budi kujifikiria kwa kweli!
 
we ulitaka alale naye kwao? ebo! mi nisingeweza kucheza tena, nilikuwa nimeshachoka, nways hebu njoo pm kwanza.
 
 
Last edited by a moderator:
Orait so hapabkuna Dj, mkenya, mkoko, mbuyuni! Nataka maelezo asap shemeji cacico na gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…