gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
gambachovu upo??? mzima weye?? mi mith u pande hizi wallah kha!
Hahahaaaaaaa.......kumbe unamtetea rafikio?
Wala sikupm najua huko ndo kuakoanzia ukaguzi
Wala siingie kwenye list
Kama hutaki kunikaribisha
Wapo Wabunge kule, heheheeeee.....
Mwigulu Nchemba aka Kongosho.
Kha! Remmy wataka @ cacico arudi kwa Young_Master why? Hujui kama ni shemeji yangu wa ukwee? Kha!
Ukaguzi unaanzia pm come this way
Kha! Remmy wataka @ cacico arudi kwa Young_Master why? Hujui kama ni shemeji yangu wa ukwee? Kha!
Ukaguzi unaanzia pm come this way
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.
Upekuzi: Vijana, masharobaro.
Ukaguzi: Wazee, mababu.
Imetolewa na mimi babu yenu ODM wa wajukuu.
rafiki yangu cacico, imekuwaje tena na huyo husband wako Young_Master?
by the way ulituambiaga hii habari, nikachoka kabisa, ila usikate tamaa mwanaume husifiwa mapenny, benjamins, mula, sio uhandsome wala usharobaro! so komaa malipo utayapata! lol we normaly mith u too pande hizi, mwahhhhh, hii ya kwako! mwahhhh hii peleka kwa samaki umpendae huko majini lolest!Nipo kimtindo kwani naishi majini,nakujaga duniani kidharura tu,au kwa kutoroka madame cacico ila nawamiss wote kwa sana...
😛eep: :amen: :behindsofa:, LOLEST!
😛eep: :amen: :behindsofa:, LOLEST!
:gossip::gossip::bathbaby::shut-mouth:😛ray2:😛ray2:
Hivi jamani wewe Fixed Point a.k.a fixednukta uko ulimwengu upi? Inamaana hujasikia alichokuwa ananifanyia? Wee muulize The secretary atakupa mkanda mzima na bonus ya copy yake juu.
Unapenda wabunge weweeee???
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.
Upekuzi: Vijana, masharobaro.
Ukaguzi: Wazee, mababu.
Imetolewa na mimi babu yenu ODM wa wajukuu.
Dah gambachovu mi mzima na dogo BAGAH hajambo kabisa