mi cku zote najua ni utani! ckujua kuwa ye kafanya kweli, hata hii ya leo nadhani ni utani tu bwana! mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!hivi sasa shostito cacico! haya ndo ya mzigo mzito mpe mnyamwez aubebe au? to me i think Young_Master anapaswa kujua kwamba humu jamvin ni utani tu bana asiyaweke kuwa ya ukweli manake akienda kwa stail hizo mbona ataumia kweli? ila na wewe ulianzaje....................?????????
mi chokaaaaa, mi hoiiiiiii! tukutane brajec jioni pulizzzzz, maana nahitaji kumaliza mzinga wa wine kha!lol..........jamvi lina mambo aisee wengine tukitania wengine wanafanya kweli haya bana. kwastail hii wengi tutaolewa mara mia mia humu jamvin
mi cku zote najua ni utani! ckujua kuwa ye kafanya kweli, hata hii ya leo nadhani ni utani tu bwana! mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!
shemeji Kaizer njoo pulizzzz uninunulie wine, mkeo atakuwa busy leo! ODM muache tu ajifiche huko alipo, najua atanitafuta tu akija, though nimesikia jana alilala nyumba ya kati kwa Yummy!shostito leo from saa tano naingia maabara hadi saa kumi hivi nina wadudu wa kuwafanyia isolation kwa ajili ya ile study so you can imagine how busy and shorter the day will be. najua nikishaingia kwenye safe cabinet hutonipata hewani tena ila usiboreke mamii. BTW Kaizer leo anaziba pancha sijamtia mbonini since ijumaa na huyo mpenzio Asprin ndo kuzidi manake niliskia crane la tics limemchota sijui limemtupia wapi.
this is chit chat my dada, la humu huwa silitilii uzito wala maanani, nakuunga mkono yawezekana ni hivyo, kha, bora umekuja gfsonwin nimepata ahueni lol!lakin hope ni utani hamaanish ma dearest ingekuwa kule mmu ningesema kweli ila humu chit chat hana lolote huyu kaamka na hang over za mabia kaona aanze wiki na wewe si unajua mambo ya blue monday?
mi cku zote najua ni utani! ckujua kuwa ye kafanya kweli, hata hii ya leo nadhani ni utani tu bwana! mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!
mi chokaaaaa, mi hoiiiiiii! tukutane brajec jioni pulizzzzz, maana nahitaji kumaliza mzinga wa wine kha!
Ohoooh! mi nilijua ni kweli, sasa we ulikuwa huoni mwenzio alivyokuwa serious hadi anatupiga mkwara sisi wengine hapa!
weye nawe! asa mtu uwe serious na mabwana wa humu jf si utaua chizi manake unataniana na wangapi? lkn mbona yeye mwenyewe kakimbia aje atuambie kama ni kweli basi shostito cacico utakuwa umeponeapo nyota ya jah imekudondokea yaan mtu akupende thru hizi post tu?
mamaangu alikosea kunioshea ule mti wa mpendampenda, naona unaleta balaa sasa, maana sielewi na sitakaa nikaelewa, itabidi nitafute mmavimavi nifute hii nuksi, nisijesababisha madhara zaidi kha!weye nawe! asa mtu uwe serious na mabwana wa humu jf si utaua chizi manake unataniana na wangapi? lkn mbona yeye mwenyewe kakimbia aje atuambie kama ni kweli basi shostito cacico utakuwa umeponeapo nyota ya jah imekudondokea yaan mtu akupende thru hizi post tu?
sikukanusha coz nilikuwa najua ni utani, tena zaidi ya utani! sa ndio nashangaa haya, yawezekana hata haya ni utani tu, ni katika kuifanya chit chat ichangamke PombekaliHaaah! maumivu ya kichwa huanza polepole bana!! mbona Cacico mwenyewe hakukanusha hata maramoja, hujui kuna ile methali inayosema "Msikitini ukimchekea atakufuata hadi mbwa!?" teh teh teh
kuhusu Asprin nimekufaa nimeoza, nasoma tu alama za nyakati, ukaguzi mchezo?? anakagua kwa viwango ati, waulize BADILI TABIA na Yummy!haya kazi ipo sasa subiria na huyu Kaizer na Asprin wafanye kweli utakoma manake .................. but ummu kulthum ni kiona mbali kweli aisee big up mdada.
utaoga kwangu na kubadilishia kwangu, mavazi yetu ni yaleyale ya jmosi so no problem, design zile ninazo kibao, kha, usikoseje sasa??ma dearest nakupendaje? ila nimebanwa wewe hawa wazungu watazaa na mimi aisee nisipokuwa makin ngoja nikomae nao kwanza. the problem is baada ya lab work huwaga sijiskii vizuri kukaa mahali manake huwaga nahisi mwili wote unavijidudu so huwa napenda nirudi home soon kuoga. kweli au nitaogea kwako manake nirudi home kwangu kisha town ntachemka.
masharti ya kukutoa leo nguo mpya itakuhusu tena, manake sitakuwa naya kubadilisha
poleni kwa mkwala nadhani hata huo mkwala alikuwa anatania tu, kha! mkwala kwangu au kwa comments zangu jamani?? Pombekali mzima weye lakini? wajionaje hali?Ohoooh! mi nilijua ni kweli, sasa we ulikuwa huoni mwenzio alivyokuwa serious hadi anatupiga mkwara sisi wengine hapa!
mamaangu alikosea kunioshea ule mti wa mpendampenda, naona unaleta balaa sasa, maana sielewi na sitakaa nikaelewa, itabidi nitafute mmavimavi nifute hii nuksi, nisijesababisha madhara zaidi kha!
kwi kwi kwi! morning The secretary!