utaoga kwangu na kubadilishia kwangu, mavazi yetu ni yaleyale ya jmosi so no problem, design zile ninazo kibao, kha, usikoseje sasa??
heheheiya, kanizoeaje sasa mukenya na vituko vyanguuuu??/ kha! nitafutie ile mizizi pulizzzzzzz ya mmavimavi kabla sijasema idadi ya 96 inawakilisha nini hapa duniani. lolest! HALO, HALO, WINE, WINE,,,, HALO, HALO, KONYAGI, KONYAGI!!! kha nacheka sana kila nikumbukapo lolest!sasa shida iko wapi? njoo nikupe mfurusadi ukiwa na mmavimavi haya yote kwisha habari yake. hatotia mtu maguu kwenye himaya ya mukenya chezeya magwiji weye....
umeonaeeeee The secretary, yaani yaani, ndio mpango mzima!! hawajambo wanangu huko na dad wao?? Bishanga umeshakubali akukague au bado msisitizo ni ule ule??Morning to you hawa waume wa ktz bila kuwawekea hiyo beam balance maisha hayaendi
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!dah hapa sasa inabidi nitafute mtu wa kwenda kuoga naye manake na jua weye utakuwa na mukenya wako miye je? namwona mziba pancha yuko bize sasa sijui nimtafute nani jamani wafuatao wachague kama wanapenda kuoga na mimi leo nyumbani kwa cacico,nao ni Bazazi cartura BAK Mr Rocky saint ivunga Invisible Erickb52 wengine nani vile waendelee. first come first save
Nishafika mimi gfsonwin wa kwanzadah hapa sasa inabidi nitafute mtu wa kwenda kuoga naye manake na jua weye utakuwa na mukenya wako miye je? namwona mziba pancha yuko bize sasa sijui nimtafute nani jamani wafuatao wachague kama wanapenda kuoga na mimi leo nyumbani kwa cacico,nao ni Bazazi cartura BAK Mr Rocky saint ivunga Invisible Erickb52 wengine nani vile waendelee. first come first save
umeonaeeeee The secretary, yaani yaani, ndio mpango mzima!! hawajambo wanangu huko na dad wao?? Bishanga umeshakubali akukague au bado msisitizo ni ule ule??
The secretary kama umeshauonja ukaguzi wa ODM basi utakubaliana nami, kha yule babu ni kiboko, mi penda yeye mnooooo! Bishanga yu[po kuleee kaitisha kibao kata, madogo yana ahueni wallah!hajambo na dad wake muzima yeye nilimpa masharti kunikagua labda nimpeleke mabwepande bado anajifikiria halafu siwezi kuvunja masharti ya babu Asprin mpaka amuombe ruhusa ya kumkagua mjukuu wake mtukufu
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!
Nishafika mimi gfsonwin wa kwanza
Twende zetu mama nikakupe maraha ya Bafuni faster
The secretary kama umeshauonja ukaguzi wa ODM basi utakubaliana nami, kha yule babu ni kiboko, mi penda yeye mnooooo! Bishanga yu[po kuleee kaitisha kibao kata, madogo yana ahueni wallah!
Khaa!..............haya ni mageni kwangu lol! nini tena babito?
nendeni mkatafute supa gluu muurudishie huo moyo hata kama utakua na ufa ni poa kuliko ulivyovunjika mmmh! chezeya gwiji la jiji yeye.
Mhanga wa limbwata
We Cacico umemfanza aje Young Master!? jamaa kawa mshairi ghafla,kweli love is not crazy!! afterall those publications and open declarations kuwa anakupenda sana,
Nahisi harufu ya 'baby come back' ..........I think it is near!!