You broke my heart cacico...!!!

uchunwe kwa pesa ka nyagi na wine wanshangaza aisee........................lol wewe cacico hebu njoo muelewesha x wako manak enaona hata tabu kumuelewesha. hapo naye kadai anachunwa tobaa! Bishanga atasemaje sasa?
Bishanga atakuwa amenyolewa na kuchunwa
 
Last edited by a moderator:
hivi yule mc wa nini jamani?/ labda michiriku! kha! ma mc wengine mbona taabu!
 
heheheheiya, naomba kutuma salamu kwa makungwi na masomo wote especialy tanta boy popote walipo! ujumbe kuna mwenzenu anawakilisha huku, wasindikizwe na wimbo wa taifa, ILI KULIENZI TAIFA LETU KHA!
 
kinachonichekesha ni cacico kukuacha kijana kuja kwa babu Asprin....



[QUO
TE=Young_Master;4204541]Sasa na wewe kipi kikuchekeshacho?[/QUOTE]
 
chezeiya kibabu weye?? kikiona usiku hakioni wakati wa ukaguzi fasta kinawasha tochi au koroboi! hakifail kabisaaaaaaa! mi luv him bwana, mke mwenza mi luv u too, umekubali tushee, mwahhhhh!
kinachonichekesha ni cacico kukuacha kijana kuja kwa babu Asprin....



[QUO
TE=Young_Master;4204541]Sasa na wewe kipi kikuchekeshacho?
[/QUOTE]
 
i love you too mke mwenza, babu Asprin for life....


chezeiya kibabu weye?? kikiona usiku hakioni wakati wa ukaguzi fasta kinawasha tochi au koroboi! hakifail kabisaaaaaaa! mi luv him bwana, mke mwenza mi luv u too, umekubali tushee, mwahhhhh!
[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.[/QUOTE] umeona eeh! chezeiya vibabu weye!
 
Ndo Kusema kuna nini hapa? Asprin nakuonaunachungulia hapo, mbaya zaidi Mike McKee naye yumo tu.....kumetokea nn hapa?

Maana naona kuna watu wanabipndoa za watu hapa....

There are currently 11 users browsing this thread. (5 members and 6 guests)

 
Last edited by a moderator:
gfsonwin said:
mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.

Acha kutuponda na wewe...thibitisha maneno yako.
 
nipo Erickb52, nipo my dear, naangalia upepo unavyovuma! kwema huko? hebu muogeshe kisha jioni tukutaneni brajec, nimewamiss mno kha!
Jioni utaniona cacico wala usijali
Leo natoka zangu mapemaaaa kuelekea eneo la tukio siunajua nshamiss sana maeneo lol
 
Last edited by a moderator:
sasa hayo maji mwaoga bila kuunga?? Shurti maji ya mtoko kama hivyo yawekwe viungo bwana kha! Mi nasubiria matokeo.
Hahahaaa ndio natoka zangu bafuni tena kwa shingo upande lol cacico jioni jiandae kunipa maogesho kama ya gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…