shemeji acha ufukunyuku, lol!Ndo Kusema kuna nini hapa? Asprin nakuonaunachungulia hapo, mbaya zaidi Mike McKee naye yumo tu.....kumetokea nn hapa?
Maana naona kuna watu wanabipndoa za watu hapa....
There are currently 11 users browsing this thread. (5 members and 6 guests)
- Kaizer,
- cacico,
- Asprin+,
- Mike McKee
shemeji acha ufukunyuku, lol!
mmh! kazi ipo duniani hapa..........ila ukweli vibabu vinajua kupakata acha masihara, hawa vijana wa bbm wanaoish kwa theories bana mizinguo mitupu.
Haahahaaaaa Kaizer yote hayo nayajua kwa mtizamo wa Public ila kwa upande wa hii topic yetu bado mgeni labda yakinitokea ndio ntajuaDogo Erickb52 unamfahamu gfsonwin? na cacico? Umesikia khabari ya wide load gia 16 high na low?:eek2: Usije kesho na mashairi hapa kama Young_Master tu
u have ol he right shemeji, kha wewe tena!kha! Shemeji I have the right to know ama?
Mi ndio naelekea eneo la tukio!kha! come this way papito lol! tutakungojaje sasa?
u have ol he right shemeji, kha wewe tena!
mmwahh, mmwahh, mmwahh! kha! umenogewaje? thatha??Basi nichumu nikis mwaah
Dogo Erickb52 unamfahamu gfsonwin? na cacico? Umesikia khabari ya wide load gia 16 high na low?:eek2: Usije kesho na mashairi hapa kama Young_Master tu
tobaaaaaaaaaa! shemeji utapona kweli weye?? jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiii my Asprin yuko wapi, isijekuwa yupo mabwepande kha!ma love ila kawivu kapo atii.............. Kaizer sema bana weye wataka nini leo hny...............miye nakumisije papito...........nshakuandalia hot shower na nafsa ma love na kile kikoi cha kukubebea jamani, pamoja na kipepeo cha kukupepea. huyu cacico atakuletea mambo ya air condition wakati miye nakupepea na kipepeo huku nyuzi 360[SUP]0[/SUP] zikivibrate.
mbona maneno kuntu??Kunywa tu mama. Kunywa hata pipa zima.
ma love ila kawivu kapo atii.............. Kaizer sema bana weye wataka nini leo hny...............miye nakumisije papito...........nshakuandalia hot shower na nafsa ma love na kile kikoi cha kukubebea jamani, pamoja na kipepeo cha kukupepea. huyu cacico atakuletea mambo ya air condition wakati miye nakupepea na kipepeo huku nyuzi 360[SUP]0[/SUP] zikivibrate.
mbona maneno kuntu??