kama kila amkaguaye anamdo, basi ni neti hii kwa matobo aliyonayo, source Smile! mimi, BADILI TABIA na Yummy wenyewe tumeridhikaje sasa?? hata lije buludoza hatung'oki ng'o!Humu Ndani watu hufanya kweli wala si utani, believe me. Kwa mfano babu Mkaguzi wa Wajukuu, huwakagua kweli wala i utani, heheheeee.......kalagabaho.
mmmmwwwwaaaaahhhhhh!Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:
nasikia huwa anatu-do kweli! kwani we umedoiwa??? mi nilikaguliwa tu, ngoja nimwambie ani-do kwelikweli! lol!cacico na BADILI TABIA huyu mzee anatuingiza mkenge hilo limbwata kashanipatia,sasa naona analihamishia kwako na BT kaa mkao wa kula mwaya.
mmmmwwwwaaaaahhhhhh!
@sweetlady mambo best?? mbona sikuoni kwangu nowdays? mwenzio nimepata mume mpya, nimeolewa mke wa wa3, kha!
:flock::eek2::eek2::eek2::alien:
Nikuletee The secretary uniwekeapo japo kiduchu?kwani babu MSWATI we huwa unawekewa limbwata
Hahaha hivi sweetlady hujajua hommie wangu Kaizer amebadili dini? Kibali katoa AshaDii mwenyewe. Tena FYI yeye ndo alimtafutia gfsonwin.
nasikia huwa anatu-do kweli! kwani we umedoiwa??? mi nilikaguliwa tu, ngoja nimwambie ani-do kwelikweli! lol!
@sweetlady mambo best?? mbona sikuoni kwangu nowdays? mwenzio nimepata mume mpya, nimeolewa mke wa wa3, kha!
nakwambia tutakuwa finito at this moment! nadhani kuna wahanga humu ndani wa huo mlima kitonga my dada, mmmmhhhh tuonane brajec kuhusu ile isue, by the way nilisahau kukwambia, dj alipata ajali that nite!aisee basi amewaduu sana...........lol na hicho kikojoleo chake sasa si kimeisha jamani? sasa wanaomtumia wanatumia scraper lol!
hovyoooooooo!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
:A S-heart-2::lalala::welcome:mmmmwwwwaaaaahhhhhh!
ushawahi kuta kandambili za umoja zauzwa shoprite?? lile si ni duka la south africa?? hebu nipishe na ctaki ufukunyuku! tukutane kule kwa cku ile.Hehehehe.....ama kweli raha jipe mwenyewe lol......haya kila la kheri dia......sasa YM kaachika au?
aisee basi amewaduu sana...........lol na hicho kikojoleo chake sasa si kimeisha jamani? sasa wanaomtumia wanatumia scraper lol!