hivi Heaven on earth ulivompa "Like" Kongosho apo juu una maana gani yaani unaunga mkono hoja?
Kongosho ngosha nikukamate na sikusaidii ile project yako na Dark City....kuwa mzee isiwe sababu lol
CC snowhite na @FP.
Philips ?like mine
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli umbea hauna posho, aliyekuambia umwite nani?CC Dark City mkuu mwenzangu "mkubwa hapangwi" hebu come zis way....
Umeshaaandaa mchango wa rambi rambi?
Na wajukuu za babu utawalea wewe kweli??
Huyo Kongosho achana naye...ana Zombie wake wanatanua kama vile dunia haitakaa iishe...
Mie naendelea kuguguna pension yangu..lol!!
Babu DC!!
Kaizer na Kongosho mnaongelea nini hapa? maana hata siwaelewi, nani anamlia timing nani?
Umbea hauna posho
Kaizer na Kongosho mnaongelea nini hapa? maana hata siwaelewi, nani anamlia timing nani?
Umbea hauna posho
umeona eeeh!Ndiyo maana nikasema kuwa wanahitaji kupewa somo la jinsi ya kudeal na watu wazima, tena wale wa 1947...
Nahofia kwamba wanakoenda hata wenyewe hawapajui..lol!
Babu DC!
Umeshaaandaa mchango wa rambi rambi?
Na wajukuu za babu utawalea wewe kweli??
Huyo Kongosho achana naye...ana Zombie wake wanatanua kama vile dunia haitakaa iishe...
Mie naendelea kuguguna pension yangu..lol!!
Babu DC!!
Hahaha...mkuu wajukuu watalelewa tu pasi na shaka....
Hahaha bora uneona kuwa si bure.. Kongosho anahitaji kuzungumza na wewe nadhani....