Ha ha ha ha, yaani nimejikuta nimecheka haZaraniHahaha bora uneona kuwa si bure.. Kongosho anahitaji kuzungumza na wewe nadhani....
Asante babu, endelea kutuleaHaiwezekani aisee.....
Yaaani nijipige RIP eti mtaelea wajukuu zangu....
No, please...!!
Babu DC!!
Alishashindwa masharti kwa sababu ya evil intentions....
Nimwambia aombe ruhusa kwa Bibi DC akashindwa....
Labda kama unataka kumsaidia...Ila utakuwa na hakika kwamba hiyo roho ya jinai imekatika??
Babu DC!!
Ha ha ha ha, yaani nimejikuta nimecheka haZarani
Asante babu, endelea kutulea
Kaizer mbaya sana
Eti anaomba P.O Box ya bibi ili awasiliane naye
Tena nimemwambia, babu hapendi yeye akawa hasikii
( ila raha)
partner hiv ni kunisahau,ni kuniacha solemba,ni kunitupa kapuni,ni kunipotezea ,ni kutokujali,ni kujifanya hujui kuwa umenimiss,ni kutokujua la kufanya au ndo ishakuwa story tena!
What did u just say about us?
babu basi ngoja nikuhadisie!Kwendeni zenu huko...
Babu hataki uchokozi uchokozi usio na tija...
Babu DC!!
hapo kwenye kwendeni zenu sijui kama mimi nimo, nilishaachaga kumtania babu zamani sana.babu basi ngoja nikuhadisie!
wakati nipo kigoliiiii,eheheheh yani wakati yule mtuhumiwa wako anaaanza ubarobaro wake!
wenzie wakija na kujifanya kunitania tania shemejiiii!shemejiiii!mi ndo nilikuwa natoa hilo jibu hapo kwenye bold!
ahahahahhahah AHSANTTE SANA BABU kwa kunikubusha enzi zangu za ujana!
nyie Kaizer Kongosho na FP HEBU KWENDENI HUKO!
Kwanza kabisa sijakusahau na kamwe siwezi kukutupapartner hiv ni kunisahau,ni kuniacha solemba,ni kunitupa kapuni,ni kunipotezea ,ni kutokujali,ni kujifanya hujui kuwa umenimiss,ni kutokujua la kufanya au ndo ishakuwa story tena!
ehehehhehe wapi wewe bana! hebu do ze needfull!
pole kwa yalokufika,sikujua kama uko shidaniKwanza kabisa sijakusahau na kamwe siwezi kukutupa
Tatizo nimekuwa busy kiasi cha kutoonekana hapa,
Pamoja na hayo yote moyoni mwangu iko yako chapa,
Si unajua nikikukosa nitabaki natapatapa?
Majukumu yamekuwa mengi na kusafiri kukazidi sana,
Leo niko hapa kesho pale kama mtalii toka China,
Mwisho nikafika Arusha na wajanja wakanipigia plana,
Wakanibebea walivyobeba nikabaki mtupu, Maulana!
Hata hivyo bado nipo, maana uhai bado upo tele,
Nafuatilia kinachotokea japo sipigi makelele,
Kujali najali sana tena na mapenzi yamejaa tele,
Usihofu partner wangu, mi na wewe milele
Ni bora wangeiba simu, maana nina uhakika ningeipata,pole kwa yalokufika,sikujua kama uko shidani
lana iwajae waja,walokutia umasikini
walochukua si hoja,bora roho i mwilini
mie sina hali mahamumu,sikumbuki nilicheka lini
bora urudi nitue,yamenilemea moyoni
umekuja nisikie,ya siku nyingi kifuani
nambie na niyajue,ulopitia upwekeni
mie sina hali mahamumu,sikumbuki nilicheka lini
ya simu tuyasahau,muachie Kaizari
mie na weye mahamumu,tuna mengi tarazari
nataka niachie tabasamu,japo sina blakiberi
mie sina hali mahamumu,sikumbuki nilicheka lini!
babu basi ngoja nikuhadisie!
wakati nipo kigoliiiii,eheheheh yani wakati yule mtuhumiwa wako anaaanza ubarobaro wake!
wenzie wakija na kujifanya kunitania tania shemejiiii!shemejiiii!mi ndo nilikuwa natoa hilo jibu hapo kwenye bold!
ahahahahhahah AHSANTTE SANA BABU kwa kunikubusha enzi zangu za ujana!
nyie Kaizer Kongosho na FP HEBU KWENDENI HUKO!
1. Blackberry = Attention seeker
2. Sony = Misunderstood
3. Apple iPhone = Classy
4. Nokia = Very loyal
5. LG = Loner, kinda boring
6. Samsung = All about style
7. Motorola = Old school
8. HTC = Very serious about life
9. ZTE = Settles for less
10.Huawei = just awesome.
11 Those phones with 2 sim cards = boring always
12. Techno = pretenders
where do you fall?
ma self is # 3 and FirstLady1 #6