You cannot try this in Tanzanian Roads

You cannot try this in Tanzanian Roads

Ni kweli ndugu, kwa sababu wavuta bange wetu hawajafikia steji hiyo

giphy.gif
 
Kuna wale vijana wa kkoo wanakuwa na mapikipiki yao sometimes kule tanganyika pikkers nafakiri huyu janki anataka mumu onyeshe zile fujo mnazifanyaga ktk barabara za msimbazi na sikukuu
 
Somebody take that motorcycle from him. He's stupid. No helmet and on a major highway 🤬
 
mleta mada hicho alichofanya huyo jamaa hapo hamna kitu cha ajabu,naogopa kuweka videos zngu hpa sabab wazee wakidaka tu namba za gar yngu kesho nko ndani
karibu sana team tezza
 
mleta mada hicho alichofanya huyo jamaa hapo hamna kitu cha ajabu,naogopa kuweka videos zngu hpa sabab wazee wakidaka tu namba za gar yngu kesho nko ndani
karibu sana team tezza
Boss unakujanga car meet za kenya?
 
Back
Top Bottom