You heard: Aisee huyu jamaa Mbea sana

You heard: Aisee huyu jamaa Mbea sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukisikiliza umbea na wewe pia unakuwa mbea?
 
Haki ya mama vile huyu Muulizaji ni warumi
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anaweza kumpigia simu aliyepata ajali akiwa hoi ICU akamuuliza "nasikia umeponea chupuchupu..kiuno chote hakina kazi tena..itabidi wife usaidiwe kwichi...kwichi"
 
huyu jamaa ni mbunifu na ubunifu wake umemfanya awe celebrit fasta, yo heeeeaard!!
 
Habari kutoka katika gazeti la Makorokocho zinasema,eti....
 
Back
Top Bottom