Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"
Moral of the story: usiponipenda leo usinipende kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja apambane na hali yake.My man. That the thing umefanya..
Kama ali kuignore ulipo muhitaji na sasa ndio anakutafuta basi mweke kwenye nafas yake aone how it feels to be ignored.
Watu wa type hiyo huwa hawarudi kwako sababu wanapenda.. kuna kitu wamekosa huko walipokuwa ndio maana anakuja kwa kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua kakosa hela tu Uyo, au Kaona jamaa mambo yamemnyookeaMy man. That the thing umefanya..
Kama ali kuignore ulipo muhitaji na sasa ndio anakutafuta basi mweke kwenye nafas yake aone how it feels to be ignored.
Watu wa type hiyo huwa hawarudi kwako sababu wanapenda.. kuna kitu wamekosa huko walipokuwa ndio maana anakuja kwa kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakausha mkuuNdivyo inavyokuwa kwa wengi tu.
Maamuzi ni kwako.
1. Umchunie
2. Upige usepe
3. Upige unate
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee umenikumbusha mbali kidogo,hii kitu kama vile umeicop kwangu na kuja kuileza hukuHiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"
Moral of the story: usiponipenda leo usinipende kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pia kai copy kwangu hahahahahAiseee umenikumbusha mbali kidogo,hii kitu kama vile umeicop kwangu na kuja kuileza huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu hata Mungu huwa hawaelewi.Hii pia kai copy kwangu hahahahah
Ishawahi nitokea long Time acheni tu aisee
Wahuni wakajipigia wakatia na mimba
After miaka 2 hivi ananicheki eti"oooh!! Kwani umenisusa "
Nikawaza sana nikaishia kucheka maana nilijua tu one day atarudi maana njia aliochagua kipindi hicho ilikuwa ya kihuni tu
Na Mimi nilitaka nimfanye official kihalali kabisa sababu nilimuelewa yule manzi that time
Anyway this time anapambana na hali yake huko aliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana title zinafanana mkuu kutokana na scenario hizi kuwa zinatokea kila uchaoAiseee umenikumbusha mbali kidogo,hii kitu kama vile umeicop kwangu na kuja kuileza huku
Sent using Jamii Forums mobile app