"You Ignored me when I needed you"

"You Ignored me when I needed you"

My man. That the thing umefanya..
Kama ali kuignore ulipo muhitaji na sasa ndio anakutafuta basi mweke kwenye nafas yake aone how it feels to be ignored.
Watu wa type hiyo huwa hawarudi kwako sababu wanapenda.. kuna kitu wamekosa huko walipokuwa ndio maana anakuja kwa kasi
Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"
Moral of the story: usiponipenda leo usinipende kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja apambane na hali yake.

Itakua kakosa hela tu Uyo, au Kaona jamaa mambo yamemnyookea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"
Moral of the story: usiponipenda leo usinipende kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee umenikumbusha mbali kidogo,hii kitu kama vile umeicop kwangu na kuja kuileza huku

Hii pia kai copy kwangu hahahahah

Ishawahi nitokea long Time acheni tu aisee

Wahuni wakajipigia wakatia na mimba

After miaka 2 hivi ananicheki eti"oooh!! Kwani umenisusa "

Nikawaza sana nikaishia kucheka maana nilijua tu one day atarudi maana njia aliochagua kipindi hicho ilikuwa ya kihuni tu

Na Mimi nilitaka nimfanye official kihalali kabisa sababu nilimuelewa yule manzi that time

Anyway this time anapambana na hali yake huko aliko

Hawa watu hata Mungu huwa hawaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom