You Kenyans, Please Stop this Rubish, of politicians!

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mimi ni Mtanzania, nachukia kwa kiwango cha hali ya juu, kinachoendelea Nchini Kenya, kisa tu kuwa heti mpate madaraka, awe rais apate mshahara mkubwa?? alafu apoite barabarani na vingora? this is studit never happen!

narua tena kuewasihii, mnaotaka kuandamana, mkuje mkutane na askari walio toka depo, hata kama hawatoshi kenya hazimeni TZD, muone moto, haiwezekani mtuchafulie Africa mashariki yetu bhana!

Odinga, siku ya maandamano naomba uwe wa kwanza mbere sio uagize watoto wa wakulima wawe mbere ilihali wanapigani wewe, uingie ikulu.

Uhuru Kinyata naomba tarehe 26, jitokeze no moja ukapige kula!
 
Rubbish!
 
Kumbe maandamano hayafai? Chadema mnalilia nini kusema Magufuli amezuia maandamano?
 
Huo u-rubbish uko wapi? Odinga awe mstari wa mbele kwenye maandamano, full stop!
Ni kama wale wajinga kwenye uchaguzi wa 2015 (TZ) walivyoambiwa wakeshe wakilinda kura halafu waliokuwa wakiwahimiza kufanya hivyo wamelala na wake zao! Wajinga ndio waliwao!
 
Huyu sio mtanzania ni mkenya, kama sio mkenya wa kuzaliwa, basi akili yake ni made in Kenya
 
So your writing proves that you're biased. I thought your intention was to advise both sides but alas I was wrong. Be blessed for your biasy
 
But Kenyans speak Good English, why didn't English help them get out of these Chaos.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kenya itajengwa na wakenya wenyewe

Acha kuwashwawashwa
Ndio.
Lakini tunawahitaji majirani wetu pia. Na yote yanayoendelea kwenye hii sekta yetu ya dunia yana uhusiano. Mfano: ukosefu wa usalama Somalia umetusababisha tupitie shida chungu nzima tangu 2010 hapo. Kwa hivyo, ukosefu wa "stability" huku kwetu unasumbua majirani wetu.

Think!
 
Kiswahili cha wapi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…