Asanteee [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kwahi hiyo ulitaka wafanyaje..!!!
We ndio uko wrong kabisa...hakuna point hapo, na bila shaka hauko katika mahusiano either umri bado au kuna kikwazo kingine...,
Kama nguo, magari, nyumba, viatu huwa tunataka vyenye sifa fulani, ndio hata wapenzi inakuwa hivyo, huwezi kujitupia tu kwa mtu ilimradi ni mwanamke au mwanaume, lazima kuww na vigezo vya kutofautisha mume na mwanamume, au mke na mwanamke....,