You see what you want to see...

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
395
Reaction score
357
Kwa muda sasa nimegundua watu kwa asilimia kubwa tunaangalia (notice) vile vitu ambavyo tunataka kuangalia na vinatuvutia (vice-versa is true). Yaani kama ukiamua kutafuta uzuri wa mtu au kitu lazima tu utauona, vile vile ukitaka kuona ubaya wa kitu au mtu lazima tu utauona haijalishi hicho kitu ni kizuri namna gani.
Kwa upande wa mazingira yanayotuzunguka pia unaweza ukawa unaishi sehem ila kuna muda utakuja kuona vitu ambavyo mwanzo hujawahi kuviona na vilikuwepo.

Sijui hiki kitu kinaitwaje na kama kuna mdau mwenye uelewa zaidi karibu tujulishane.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…