hapa nimeshakamilisha asilimia 99 ya mambo yote..!nimekaa nakufanya tathmini nimegundua PESA IMENITOKA!..tena mingi tu!sasa najiuliza kwanini sikulijua hilo?
hehehe!Geoff... hivi kweli unadhani uko peke yako? yaani unaamini kwamba gharam zote za ndoa ni zako?
Mh... ahadi sasa mbona naona kama haiswihi?
hahaha!binamu binamu, hii kitu ni once in a life time, pesa huwa inatafutwa binamu siku zote na haijawahi kujaa usijali ,can someone here tell me the distance from a-tawn to makambako pleeese? π
hahaha!
nashukuru kwa courage!
kuhusu umbali...well!ninachokijua ni kwamba ni twelve hours drive...
"BEER now cheeper than gas! drink, don't drive"
hehehe!
mpwaaz haya mambo yanapasua kichwa...!kila nikifanya tathmini lol!
hapa nilipo ninaishi kwa imani na courage za wapwaaz na marafiki
najaribu kuitafakari nashindwa!
kwani wewe dada harusi yako ilikuwa ngumu kama yangu...?
najaribu kuitafakari nashindwa!
kwani wewe dada harusi yako ilikuwa ngumu kama yangu...?
noted!.........Ndio maana kamati zenye akili huwa zinatoa zawadi ya CASH kwa bwana na bibi harusi. Mambo ya kumnunulia friji au sijui gari wakati tayari analo yameshapitwa na wakati. Wanakamati wakikuuliza unataka zawadi gani waambie wakupe CASH inayolingana na bajeti yao ya zawadi.
Inasadia sana kupunguza maumivu ya gharama za harusi! Ni maoni yangu tu! π
na hamu na maji ya breweries jamani ...
yangu ilikuwa ya mkeka....tofauti kidogo
hehehe!
mpwaaz haya mambo yanapasua kichwa...!kila nikifanya tathmini lol!
hapa nilipo ninaishi kwa imani na courage za wapwaaz na marafiki
mi nilikuambia changisha siku ya ndoa watu waje church afu mkitoka unawaambia sherehe ndo imeishia hapo nyie mnasepa zenu honey moon na mihela ya mchango mmebank tayari kuanzia maisha ya ndoa!!!!
hicho ndo ntachofanya kwa uzoefu nlojifunza toka kwa harusi 2 nilizopigwa changa la macho.
they were so brave anyway!!!!!!!
Sorry buddy
Ukiisha weka shemeji ndani gharama zitapungua, hutoenda kupata supu kwenye bar na marafiki walevi kama sisi utatutosa. Na wadada waleee utawabadilishia namba za simu ama ukiwapigia unaweka private wasikuombe vocha.
I am retiring soon from bachelorhood!
Jongwe hongera, Mungu atakupa matunda ya ndoa (si tendo la ndoa)