Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
hapa nimeshakamilisha asilimia 99 ya mambo yote..!nimekaa nakufanya tathmini nimegundua PESA IMENITOKA!..tena mingi tu!sasa najiuliza kwanini sikulijua hilo?
binamu binamu, hii kitu ni once in a life time, pesa huwa inatafutwa binamu siku zote na haijawahi kujaa usijali ,can someone here tell me the distance from a-tawn to makambako pleeese? 😀